idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,314
Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.
Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha kuwania hiyo nafasi.
Hajataja Jimbo, Wala Chama atakachotumia kuwania hiyo nafasi.
Ila amesisitiza ieleweke anaenda bungeni.
Kwa niaba ya Wana JF wote nakutakia safari na mafanikio mema kwenye hiyo safari yako mpya ya utumishi.
Chanzo: Pascal Mayalla . Star tv leo.
===
Pascal Mayalla athibitisha

Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla