Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,802
71,229
Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi walikuwa hawajazaliwa miongoni mwa wapigakura humo ukumbini.

Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha? Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF

Uchaguzi 2020 - Wana JF, Nipeni Pole!, Msinicheke, Wala Msinibeze, Nimegombea Ubunge Kawe Kupitia CCM, Nimeambulia Kura 0!. Ama Kweli CCM Ina Wenyewe!
 
Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi walikuwa hawajazaliwa miongoni mwa wapigakura humo ukumbini.
Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha?
Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF

Duuh hakika wajumbe wa Kawe ni wanafunzi wa O level kama miaka 20 hamukuzaliwa
 
Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi walikuwa hawajazaliwa miongoni mwa wapigakura humo ukumbini.
Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha?
Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF
anaweza hata kupata ZERO mshenzi huyu wa allah
 
njaa2

pamoja na ubobevu wake kashindwa kujifanyia tathmini kama anavyowafanyia wengine

kakurupuka na huenda hata yy mwenyewe asijipigie kura ya ndiyo

anadhani Kawe ni JF

ila pongezi kwake kwa kuitukuza na kuenzi Kitimoto
 
kama kweli Pasco ndio gia yako hiyo mkuu kujiita KITIMOTO umetuangusha!! WAJUMBE waislam ushawakwaza!! kwanini hakutuambia wanajukwaa tukupe agenda balozi wetu JF?
1. Ajira kwa raia wenye hali ngumu Kawe hasa vijana
2. Mikopo ya Bodaboda kwa masela
3. Mikopo ya biashara kwa kinamama yenye masharti nafuu
4. Kodi zipunguzwe kwa wafanyabiashara za maduka kutwa wanafunga wakisikia TRA wako mtaani kwao
5. Kushawishi serikali kuweka bajeti kubwa jimboni kwake huduma za jamii
6. Hiyo yake ya kugawa mil 10 kila kata

kumbuka Pasco hizi ajenda ni swagga tu za kujiuza mbele ya wajumbe si lazima uzitekeleze zote ukipata ubunge kwa kuwa utakutana na changamoto million na kuna watu watakukwamisha!!
 
Back
Top Bottom