Wakuu,
Ni bandika bandua, huku Askofu Bagonza kule Sheikh Ponda, yaani kuna watu huko vichwa vinawaka moto :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
====
Sheikh Ponda ameandika haya kupitia...
Wasalaam
Tukirejea katika hotuba ya Mwl Nyerere , wakati akizungumzia mapendekezo ya uwepo wa mfumo wa vyama vingi, anaelezea kwa kina dhamira ilikuwa ni kuwapa tahadhari CCM wasijikute wanaangia...
Ni mzalendo wa kweli
Ni mpenda haki
Ni mcha Mungu wa kweli... Lakini ni mzee wa rula.. Hapendi konakona
Hangaikeni naye vizuri, atawafaeni huko mbeleni.. Nyie na wana wenu na vizazi vyenu
Ni mtu...
Haya ni yale tuliyokuwa tumeyakosa:
Kumaanisha tunachosema.
Kwa hakika washikie hapo hapo Kila mpenda haki aliyepo hawezi kusita kuwa nasi:
Mungu mbariki TAL, Mungu ibariki CHADEMA na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa CCM Mhessimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katika muendelezo wa ziara zake anayoendelea nayo nyanda za juu kusini akiambatana na baadhi ya wajumbe wa...
Ratiba ya kampeni ikitoka vyama vishiriki uchaguzi pekee ndivyo vitaruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara Poleni CHADEMA hamtaruhusiwa sababu hamshiriki
Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo...
Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa...
Katiba yetu ndiyo sheria kuu kuliko zote na kuwanhakupaswi kutungwa sheria inayokinzana na katiba.
katiba inatoa ruhusa kwa raia kuchagua au kuchaguliwa, lakini ikatungwa sheria kuwa ili...
https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD
In brief:
➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward...
➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma...
Watanzania asilimia kubwa upinzani unatakiwa uwaelewe vizuri bila kuwaelewa waweza jipa shida bure
Watanzania ukiitisha maandano ya upinzani wanakushangilia kwa nguvu kuwa wewe kidume hasa
Sasa...
"The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed."
— Steve Bi
Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
Wakati wa kampeni za vyama zitakapoanza mwezi July, vyama vitakavyoruhusiwa na kufanya mikutano ya hadhara ni vile vinavyoshiriki uchaguzi tena kwa ratiba maalum.
CHADEMA iliyo nje ya uchaguzi...
Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema.
Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kama...
Wakuu,
Siglada kama Siglada, ila SISIEMU :KEKLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: haya sasa vikao vyote vitakuwa vinarekodiwa, mkileta maigizo watu wanawatolea kanda muwaoneshe steling alisimama...
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe...
Kama kuna mtu anadhani yupo kiumbe duniani anaweza kuisumbua serikali anajidanganya, makelele ya wanasheria kuwa haki itashinda cjui nn hayo ni maneno tu, kesi ya uhaini ni kesi ngumu sana kuliko...
Miaka kadhaa iliyopita nilisoma kitabu kimoja kilichokuwa na hadithi ya baba mwenye watoto 10, ambao kila mmoja alipoambiwa avunje fungu la vitiji 10 peke yake alishindwa ila pindi walipoambiwa...