PreGE2025 CHADEMA chini ya Lissu wamefanikiwa kwa kishindo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
2,261
Reaction score
2,744
Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi.

CHADEMA IMESHINDA PAMBANO. Kama sote tunavyojua uchaguzi mkuu huwa na shamra shamra za aina yake wakati wa Kampeni na kuhitimishwa kwa heka heka za siku ya Uchaguzi kwa kushuhudia misururu mirefu ya wapiga kura na baadaye heka heka za kutangaza matokeo.

Kwakuwa kura ni siri, CHADEMA mara zote husema kura zao zimeibiwa na CCM husema wao ndio waliopigiwa kura.Sasa uchaguzi wa mwaka huu kura zinaweza kuhesabiwa na kila mtu kwa macho yake,hii ni kwasababu kura za CCM zitahesabiwa kwa kutazama tu idadi ya watakaojitokeza kwenda kupiga kura.

Hii ina maana kwamba Viongozi wa CHADEMA, wanachama na wafuasi jukumu Lao sasa ni kujikita tu kushawishi watu wasijitokeze vituoni, na hili ninaona likifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mwaka huu kuna wasimamizi wa vituo watakuwa wanasinzia kwakuwa hawatakuwa na watu waliopo vituoni kwa ajili ya kupiga kura.

Hivyo matokeo ya Uchaguzi wa chama gani kati ya CCM na CHADEMA kinakubalika na kupokea utii wa Watanzania itakuwa ni jinsi watu watakavyojitokeza au kutojitokeza katika kushiriki Kampeni na Upigaji kura.

Hongereni CHADEMA hongera Lissu kwa akili kubwa.
 
CCM ndio imefanikiwa Braza K amechomesha.
 
Nimeumizwa sana na ujinga uliyofanyika, Chama kinaenda kupotea
 
Nayani wamefurahia kifo cha mwenye shamba
 
Nimeumizwa sana na ujinga uliyofanyika, Chama kinaenda kupotea
Kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru tuna chama Cha upinzani kinachoanini katika upinzani. Haikuwa na maana na bado hakuna maana yoyote kushiriki katika uchaguzi ambao matokeo yake yanafahamika hata kabla ya uchaguzi. Unaikumbuka hii kauli:
"Hata msipotupigia kura, sisi ndio tutaunda serikali"
Maana ya uchaguzi ni kuwapa wananchi fursa ya kumchagua mtu wanayemtaka kuwaongoza. Lakini kwa hali halisi ilivyo, kura zinazopigwa na wananchi hazimchagui kiongozi, bali kiongozi lazima awe mgombea wa CCM hata kama hatapigiwa kura na wapiga kura.
Sasa Kuna haja Gani ya kuhangaika kwenda kwenye vituo vya kupiga kura? Kuna sababu Gani ya kushiriki katika uchaguzi km huo?
Nawaunga mkono CDM na sasa ninachukua kadi kuwa mwanachama wao.
 
Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi.

CHADEMA IMESHINDA PAMBANO. Kama sote tunavyojua uchaguzi mkuu huwa na shamra shamra za aina yake wakati wa Kampeni na kuhitimishwa kwa heka heka za siku ya Uchaguzi kwa kushuhudia misururu mirefu ya wapiga kura na baadaye heka heka za kutangaza matokeo.

Kwakuwa kura ni siri, CHADEMA mara zote husema kura zao zimeibiwa na CCM husema wao ndio waliopigiwa kura.Sasa uchaguzi wa mwaka huu kura zinaweza kuhesabiwa na kila mtu kwa macho yake,hii ni kwasababu kura za CCM zitahesabiwa kwa kutazama tu idadi ya watakaojitokeza kwenda kupiga kura.

Hii ina maana kwamba Viongozi wa CHADEMA, wanachama na wafuasi jukumu Lao sasa ni kujikita tu kushawishi watu wasijitokeze vituoni, na hili ninaona likifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mwaka huu kuna wasimamizi wa vituo watakuwa wanasinzia kwakuwa hawatakuwa na watu waliopo vituoni kwa ajili ya kupiga kura.

Hivyo matokeo ya Uchaguzi wa chama gani kati ya CCM na CHADEMA kinakubalika na kupokea utii wa Watanzania itakuwa ni jinsi watu watakavyojitokeza au kutojitokeza katika kushiriki Kampeni na Upigaji kura.

Hongereni CHADEMA hongera Lissu kwa akili kubwa.
Freedom is coming
 
Back
Top Bottom