SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Huku CHADEMA wakisusia Kanuni. Sherehe za Mei Mosi mwaka ndio wakat wa kusomba Kura za walimu, magnesium na wengineo.
Magnesium eeh.Huku CHADEMA wakisusia Kanuni. Sherehe za Mei Mosi mwaka ndio wakat wa kusomba Kura za walimu, magnesium na wengineo.
Anasubiri "pekeji"! Marabook kabisa!🤣🤣🤣Mkuu ni vema tu kujiandaa kisaikolojia, zimepita mei mosi ngapi?
Ahahahahaha!!!Hakutakuwa na Uchaguzi
Wewe sio ulikuwa unadai Rais Samia Hassan hatagombea?Naona kichaa kimekurudia umeanza na ukichaa wa hakutakuwa na Uchaguzi.Hakutakuwa na Uchaguzi
Ajabu sana!!Anasubiri "pekeji"! Marabook kabisa!🤣🤣🤣