Kwenye hili nampa hongera Mweshimiwa Rais SSH dr

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,519
Reaction score
6,831
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Kuna uvumilivu wa hali ya juu na kuachia nafasi fulani ya democrasia ilo oneshwa na Rais wetu kwa vyama vya upinzani.
Ni kama wakati ule wa Rais Jakaya japo Jakaya anabaki kuwa juu.

Ukiacha tukio la Mbalali ambayo mkuu wa polisi mbeya alileta uchawa, mikutano mingine yote anaendelea kwa amani. Hili litakuwa limeipa heshima kubwa taifa letu na mweshimiwa rais mwenyewe. Much respect kwake
 
Kwa hiyo ukitekeleza takwa la katiba ni sifa, huo ni wajibu my friend
Kati ya katiba na mama nani alianza, kama umesahau tafuta kati ya kuku na yai kilianza nini.
Suala la demokrasia ni mandatory isipokua nia baadhi ya viongozi hujiweka pamba masikioni na wanazitoa wenyewe.
Tupunguze uchawa
 
Yes boss. Kwa mazingira ya siasa za chuki kwa wapinzani za ccm , tumpe pongezi Mwenyekiti wao, katika nyakati zingine mfano 2020 ungeona polis wanavyopiga na kujeruhi wapinzani almost inch nzima, in short yale ya mbalali yangekua inchi nzima. Nikunong'oneze kitu, hii inchi huongozwa na amri toka juu
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Kuna uvumilivu wa hali ya juu na kuachia nafasi fulani ya democrasia ilo oneshwa na Rais wetu kwa vyama vya upinzani.
Ni kama wakati ule wa Rais Jakaya japo Jakaya anabaki kuwa juu.

Ukiacha tukio la Mbalali ambayo mkuu wa polisi mbeya alileta uchawa, mikutano mingine yote anaendelea kwa amani. Hili litakuwa limeipa heshima kubwa taifa letu na mweshimiwa rais mwenyewe. Much respect kwake

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Kuna uvumilivu wa hali ya juu na kuachia nafasi fulani ya democrasia ilo oneshwa na Rais wetu kwa vyama vya upinzani.
Ni kama wakati ule wa Rais Jakaya japo Jakaya anabaki kuwa juu.

Ukiacha tukio la Mbalali ambayo mkuu wa polisi mbeya alileta uchawa, mikutano mingine yote anaendelea kwa amani. Hili litakuwa limeipa heshima kubwa taifa letu na mweshimiwa rais mwenyewe. Much respect kwake
Hayo yote ni sifuri, takwa la katiba na tumehuru ni la Taifa
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Kuna uvumilivu wa hali ya juu na kuachia nafasi fulani ya democrasia ilo oneshwa na Rais wetu kwa vyama vya upinzani.
Ni kama wakati ule wa Rais Jakaya japo Jakaya anabaki kuwa juu.

Ukiacha tukio la Mbalali ambayo mkuu wa polisi mbeya alileta uchawa, mikutano mingine yote anaendelea kwa amani. Hili litakuwa limeipa heshima kubwa taifa letu na mweshimiwa rais mwenyewe. Much respect kwake
Ndiyo maana tunataka katiba mpya. Raisi Hana mamlaka kuzuia mikutano ya kisiasa, labda kwa kuvunja katiba. Atulie watanzania wapate somo la No reform No...
 
Back
Top Bottom