Hebu tutafakari sote

Hebu tutafakari sote

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,823
Ni katika awamu hii mwenyekiti wa chama alikamatwa na kushitakiwa kwa kesi ya ugaidi,akapotezewa muda na baadae akaachiwa.
Fumba na kufumbua mwenyekiti wa chama tena anakamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini. Huyu pia anapotezewa muda na baadae tutasikia mkurugenzi wa mashtaka Hana nia ya kuendelea na hii kesi.
Kwa watangulizi wake watatu huyu anavunja rekodi ya kuwa kiongozi wa Juu kabisa kuwa kamata na kuwafungulia kesi za makosa ya Juu kabisa washindani wake na yeye kujiweka kwenye nafasi ya kuwa mpinzani.
Tafsiri yake ni kwamba ni muoga na hajiamini kabisa. Na anaona kabisa kwamba katika siasa safi na uchaguzi wa wazi hawezi na atashindwa asubuhi tu. Lakini nimuunge mkono katika kuona kwamba katika uchaguzi wa wazi hawezi kushinda kwasababu hakubaliki kabisa. Nimetembea nchini katika awamu yake hii, kila mahala hawataki kumsikia kabisa. Yaani ukiongea na watanzania 10, 8 watakuambia aende zake.
Najua ni tamaa tu zinamuongoza na wale wanaomzunguka wanampigania ili ku rescue fursa zao lakini common citizens hawamtaki majority of them.
Hebu tutafakari sote. Je ni sawa kupeana kesi za uhaini kwasasa? Je ni kweli kwamba Kuna chama kimeandikiwa kuongoza milele? Je tutaendele sisi katika nchi yetu tukiwa na ukiritimba wa chama kimoja tuuuuu? Jibu ni hapana.
"Unaweza kuwadanganya watu kwa nyakati tofauti lakini hutaweza kuwadanganya kwa muda wote"
Wewe kiongozi wetu wa sasa,kama una busara kweli na unajua uhai wako una mwisho. Kubali kuachia wengine ili usiadhibiwe mara baada ya maisha ya hapa Duniani. Umebahatika kupata nafasi,mahitaji mhimu ya kibinadamu unayo tafadhali usiharibu kwa kuwa king'ang'anizi kwani mwisho wa ubaya ni aibu. Nakuhakikishia IPO siku utawaomba watanzania wakuombee. Kama ni hivyo wape relief kwa kukaa pembeni ili mioyo yao ifunguke na wakupe heshima.
Kwasasa mioyo yao imejikunja. Wanaokuzunguka wanatumia nguvu mno kukutangaza.
Mwisho,kizuri Cha jiuza kibaya chajitembeza. Tafakari Leo. Mimi nimetafakari.
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Back
Top Bottom