Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wizara ya TAMISEMI imesema kupitia ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP) imefanikisha hatua ya kihistoria ya kusaini mikataba na watoa huduma watatu wa uendeshaji wa awamu ya pili ya mabasi...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine. Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake...
-1 Reactions
46 Replies
2K Views
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea...
15 Reactions
245 Replies
11K Views
My Take Serikali endeleeni kukopa Ili kuifungua Nchi kimaendelea. Bila mtaji hakuna kutoboka,tutaishia kuorodhesha Mali tulizonazo tuu ila hazitusaidii (Circle of Poverty). --- Mkurugenzi...
0 Reactions
4 Replies
484 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Amani Golugwa amesema msimamo wa chama hicho kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, wanajiona wako sawa huku akikisisitiza...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora. Wasira...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Jambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu. Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Mashindano ya kutafuta Malkia wa Nguvu Duniani. Yatafanyika Sydney, Australia tarehe 29/03/2025. Katika ukumbi wa Sydney International Convention and Exhibition Centre. Tuwape support. ***Kwa...
0 Reactions
4 Replies
403 Views
Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa. Mifano: 1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete...
28 Reactions
107 Replies
4K Views
Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa...
10 Reactions
25 Replies
1K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Nchi hii kwa Sasa inaongozwa na genge la mafisadi Hawaoni hatari kufanya chochote kwa mtu yeyote ili kulinda wizi na ufisadi wao!! Wanachi tuamke Tuseme enough is enough bring our country back...
4 Reactions
15 Replies
678 Views
Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amesema kwa niaba ya Wabunge wa CCM, hawana hofu na vyama vya upinzani na kwamba wako tayari kukutana nao...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya. Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
In brief, anasema: ➡Haogopi kufa, maana kila mmoja atakufa.... ➡Mabadiliko (changes) huongozwa na mtu mmoja ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya wengi. Atolea mfano wa Yesu Kristo.... ➡Mitungi...
34 Reactions
177 Replies
12K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO. Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco...
6 Reactions
119 Replies
10K Views
Wana Jamnvi Ni miezi kadhaa sasa bila ya Mbowe kuonekana kwenye vikao vyovyote vile vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, pia Lissu alipo fikishwa Mahakamani hajaonekana ila siku ya leo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kijiografia Tanzania ni nchi kubwa sana hivyo kiintelejensia Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai ilipaswa kuwa Huru kama Marekani au hapo Kenya Ni ushauri tu Mlale unono 😁
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…