Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 29,823
- 21,054
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO.
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa mbona yeye hatajwi katika salamu za pole zinazotolewa.
Kwa wale mliokuwa mkiuliza jambo hilo nimewaleteeni picha na majina yake kama inavyoonyesha hapo katika salamu za pole kutoka Nishati.