technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,681
- 58,692
Nchi hii kwa Sasa inaongozwa na genge la mafisadi
Hawaoni hatari kufanya chochote kwa mtu yeyote ili kulinda wizi na ufisadi wao!!
Wanachi tuamke Tuseme enough is enough bring our country back!!
Haiwezekani watu 3 wamekaa wanaendesha nchi watakavyo
Nchi inatakiwa kurudi kwenye mikono ya umma
Taifa liongozwe kwa nguvu ya watanzania(umma).