Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makundi huwa yanadumaza ustawi wa vyama vya siasa, mfano CCM tulikuwa na Boys 2 Men, Friends of Lowassa, Sukuma gang nk na kiukweli makund haya yalidhoofisha chama na matokeo tuliyaona 2015...
5 Reactions
19 Replies
692 Views
Agnesta Lambert ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) amesema kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria itasimama kidete na kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia...
0 Reactions
7 Replies
479 Views
Mambo mengi yanayoendelea kwasasa hapa Tanganyika yananikumbusha mbunge mmoja wa bunge la katiba aliyesema kuwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar haikupatikana kwenye karatasi. Mwalimu Nyerere...
1 Reactions
3 Replies
446 Views
Naomba niwaulize wale ambao wanasema muda hautoshi wa kufanya reforms, je, wapo tayari kwa reforms na katiba mpya kwa ujumla hata kwa baadae baada ya uchaguzi wa mwaka huu? Hii ni kwa sababu CCM...
3 Reactions
9 Replies
626 Views
Tusitafute majibu rahisi kwenye maswali magumu. Kwenye siasa za kidemokrasia, uchaguzi ni kitendo kitakatifu zaidi. Majibu ya viongozi wa CCM na serikali yake kuwa, muda uliobakia ni mchache...
5 Reactions
4 Replies
454 Views
Wakuu, Kuna jambo nilikuwa naangalia hapa jukwaani kwenye uzi wa siku ya kusaini kanuni za maadili, si ndio nikaona kale ka alama kuonesha video imeondolewa bana, kufika utube wanakwambia sorry...
18 Reactions
89 Replies
5K Views
Habari wadau! Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, siku hiyo tunaweza kusikia mambo mazito amayo pengine kamwe tusingeweza kuyasikia kwani ni lazima atawavua nguo watu wazito bila kujali nafasi...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Tanzania inatafuta Rais bora zaidi ya wote kwa muhula wa 2030-40, Je vyama vyetu vya Siasa vitatupa wagombea tunaowataka sisi au kinyume chake? ==== 1. Rais ajae lazima awe ni mtu ambae...
23 Reactions
366 Replies
24K Views
➡Mwaka jana 2024 mgombea mmoja aliwekewa pingamizi na CCM kuwa si raia wa Tanzania bali ni wa Kenya. CCM waliambatanisha kitambulisho feki cha u - raia wa Kenya cha mwana CHADEMA huyo ili mradi tu...
5 Reactions
8 Replies
490 Views
Tanzania ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuwa tafiti zinaonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari zenu. Kwanza naandika kuuliza hili swali nikiwa mpya katika masuala ya siasa. Hivyo mnaponipatia majibu naombeni kuzodoana na kejeli na kukashifiana viwe pembeni. Tunaelimishana tu Kati ya...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu, Hizi ni baadhi ya kanuni ambazo ACT Na vile vyama vingine 14 walienda kusaini last week. Kwa kweli No Reforms No Election. This is too much! =============== Mtu yeyote hatoruhusiwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, Kunazidi kuchangamka, kama waliweza kumvumilia mhaini halisi wanawezeje kuendelea kumshikilia mwingine huku Watanzania wakiona ni mchongo mchana kweupe kabisa? Katika waraka wake...
5 Reactions
5 Replies
589 Views
Aseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema? Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema? Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine. 2015 Hadi 2020 ikitia fora...
1 Reactions
21 Replies
977 Views
Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa Rais hataki kuongoza miaka saba lakini wao wanataka kwakuwa wana haki ya kutoa maoni yao kama...
7 Reactions
270 Replies
30K Views
Mwenyekiti CCM wilayani Kilindi, Rajabu Kumbi amewataka madiwani kuondoa hofu juu ya kurejea nafasi zao kwa maelezo kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo makubwa katika kufanikisha miradi...
0 Reactions
4 Replies
432 Views
Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni...
16 Reactions
121 Replies
7K Views
Huyu mwamba alikua hanaga kifua, 1. Aliwaponda wawekezaji wazawa kuwa hawana mitaji ya kuwekeza kwenye gesi zaidi ya Biashara za juice, maandazi na sasa energy drinks. 2. Alitaka kutaja hadharan...
3 Reactions
12 Replies
875 Views
Wakuu niwape hongera kwa kuchapa Kazi.. Mbunge wa Loliondo akijadili taarifa ya Laac na Pac Bungeni amenukuliwa akisema Afisa Masuuli wa Halmashauri ya Loliondo alikwapua pesa za Umma zaidi ya...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…