The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
Wakuu niwape hongera kwa kuchapa Kazi..
Mbunge wa Loliondo akijadili taarifa ya Laac na Pac Bungeni amenukuliwa akisema Afisa Masuuli wa Halmashauri ya Loliondo alikwapua pesa za Umma zaidi ya mil.341 zilizotolewa na Tanesco kwa ajili ya Fidia kwa wananchi na kutokomea nazo kusikojulikana..
Alipoharibu kufuatiliwa alidai pesa hizo zinaenda kutumika na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi wa mwaka 2020..
Kwa mujibu wa mbunge fusadi huyo papa alichukua kiasi Cha sh.mil.90 na kumhonga DC wa Loliondo Ili apotezee suala hilo..
Kwa mujibu wa CAG alipofuatiliw pesa hizo huko Time ya Uchaguzi walidai kwamba pesa hizo wao hawazitambui na Wala haziko kwenye hesabu zao..
Kiukweli inasikotisha na kutia hasira Sana kwamba wakati wengine wakiumia kwa kuvuja jasho jingi na pesa zao kuchukuliwa na Serikali Kwa njia ya Kodi na tozo mbalimbali ila kuna Watzn wenzetu wanaojiita viongozi wamekuwa wakitumia dhamana zao kuiba pesa za Umma na Mamlaka haziwachukulii hatua zozote kwa sababu wote ni Wanufaika..
Cha ajabu watu hao waliofanya huu ufisadi licha ya kuripotiwa bado wako ofisini hadi leo hii na hakuna hatua zilizochikuliwa..
Watzn ifike mahala tuache ukondoo wa kijinga,utii ukizidi unakuwa upumbavu..
Source ;The Chanzo blog 👇