ACT Wazalendo vs CHADEMA: Kipi ndio chama kikuu cha upinzani?

Mtu Poa 2013

Senior Member
Mar 26, 2013
105
65
Habari zenu. Kwanza naandika kuuliza hili swali nikiwa mpya katika masuala ya siasa. Hivyo mnaponipatia majibu naombeni kuzodoana na kejeli na kukashifiana viwe pembeni. Tunaelimishana tu

Kati ya act na chadema Kipi ndio chama kikuu Cha upinzani maana Kila redio kwenye taarifa za habari wanasema chadema chama kikuu cha upinzani. Ni vigezo gani vinavyokupa chama chochote hadhi ya kuwa chama kikuu Cha upinzani?

Sio kwamba act wazalendo ndio chama kikuu Cha upinzani? Maana kimefanikiwa kuunda serikali ya muungano na ccm Zanzibar? Chadema kimehusika wapi kuunda serikali? Kwani mafanikio ya chama chochote Cha siasa si kushika dola, iwe 100% au ku share

Ni maswali tu waungwana msijenge chuki
 
CCM wanaitaka ACT na wananchi wanaitaka Chadema.
 
Back
Top Bottom