Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa Mweka hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora, Bi. Lidya Mashaka amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuikabidhi kadi ya Chadema kwa...
1 Reactions
1 Replies
280 Views
Hii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee. soma hapa Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa...
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Ili upinzani ushike madaraka ni lazima kufanyike reforms (hizi ambazo Lissu na Heche wamesimamia kidete) kwanza na ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa HAKI ni lazima iwe mpya(ijivue gamba lake...
2 Reactions
4 Replies
329 Views
Wakuu, Kumekucha huku, kama ulikuwa hujajiandikisha kajiandikishe sasa... lolote litakalotokea Oktoba uwe na kitambulisho tayari! Hivi utaratibu hufanyika hivi miaka wote? Yaani huwa zinatolewa...
2 Reactions
9 Replies
531 Views
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no...
53 Reactions
178 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob awashukia vikali walimu na askari Polisi adai wanahusika kuihujumu CHADEMA kwenye nyakati za uchaguzi.
1 Reactions
8 Replies
571 Views
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato...
6 Reactions
85 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akieleza namna chama hicho kilivyoweka milango wazi kwa mtu yeyote kutoka kwenye chama chochote cha siasa nchini aliyekuwa tayari kujiunganao
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rombo, April 17, 2025 kimetoa Semina kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya, kuhusu Mabadiliko madogo yaliyofanyika ya Katiba ya Chama hicho kwa Mwaka...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Mchawi aliyeiroga Tanzania alikwishafariki miaka mingi mara baada ya kupata uhuru na madhara yake yanaendelea kiliathiri Taifa!
4 Reactions
6 Replies
441 Views
Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Salaam wakuu, Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Nchi yetu inahitaji ukombozi kamili ili tuweze kuendelea. Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa( Vyama vya Upinzani) wamekuwa mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii. Niwaombe sana tena...
1 Reactions
2 Replies
258 Views
Mwamba apewe; 1. Hadhi ya Ubalozi, 2. Ateuliwe Ubunge [viti maalum], 3. Apewe Uwaziri hata kwa siku chache tu, hili litainua CV yake huko WHO. **Vinginevyo mchuano ni mkali na kule huwezi kuiba...
4 Reactions
17 Replies
962 Views
Kumkamata Lisu, kumdhalilisha na kisha kumtengenezea kesi ya uhaini kwa sababu tu Tundu Lisu anapigania haki ya Watanzania wote, wakiwemo wanaCCM, na wasio na vyama, ili wakati wa uchaguzi kila...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mpaka siku umati wa wananchi utakapoamka usiku wa manane ukakusanyika pamoja sehemu moja kudai mabadiliko ya Nchi. Kupata katiba mpya itakayokuwa na haki ya kupata tume huru ya uchaguzi. Kama...
1 Reactions
6 Replies
424 Views
(1) Wengi wanadhani Tundu Lissu anapopinga “siasa za kupeana” anakataa tu mfumo wa CCM. Lakini kwa undani, Lissu anapaza sauti ya mabadiliko ya kweli — mabadiliko ambayo hata CCM wangenufaika nayo...
2 Reactions
6 Replies
385 Views
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CHADEMA na hata wasiokuwa na vyama, kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom