Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Denis Itumbi ndiye Mshauri mkuu wa Ubunifu wa Miradi mikubwa na Mipango ya Uchumi wa Rais Ruto Sijajua kwa Tanzania Msanii gani anaweza kumudu cheo hicho 😁 Mlale unono
3 Reactions
27 Replies
1K Views
DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa...
8 Reactions
81 Replies
4K Views
Wanabodi, Vuguvugu la no reforms, no elections linaweza kuitikisa nchi na kuipeleka pabaya endapo hatutakuwa waangalifu. Katikati ya hulka na mihemko hii ya kisiasa, ni vyema kuwa na mtazamo...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Dodoma: Zoezi la Utiaji Saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Aprili 12, 2025 https://www.youtube.com/live/BgdcX0YUdHI?si=B53f6t_tREhsGBeD Vyama 18 vya Siasa Vyasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi...
10 Reactions
160 Replies
9K Views
Siku Rais Samia alipomteua Mchengerwa kuwa Waziri wa TAMISEMI, alimsifia kuwa Mchengerwa ana kifua kipana!! Kila mmoja alitoka na tafsiri yake juu ya kauli hiyo ya Rais Samia. Lakini wengi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo hii, kama vyama vyote vya siasa vingechukua msimamo wa kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi, amini nawaambieni, sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisa. Vyama vya siasa...
3 Reactions
8 Replies
642 Views
Kama umemsikiliza vizuri Jaji Warioba utagundua hakuna sehemu yoyote amewatuhumu CCM kwa jambo lolote. Hoja za Jaji Warioba zimelenga Serikali na Upinzani ambako Chadema ndio Chama kikuu. Kuna...
2 Reactions
104 Replies
5K Views
Kuna wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa hotuba hii kuelezea masuala kadhaa ya demokrasia. Kama upo Team Lumumba na bando limekuishia usianze kujibu kama video hujaisikiliza.
5 Reactions
14 Replies
952 Views
Mzee Wassira amesema huko duniani wanahimiza kuheshimu haki za binadamu na Tanzania tumesaini lakini hatuwezi kulinda Haki ya mtu mmoja itakayopelekea kuvuruga Haki za watu wengi Wassira alikuwa...
4 Reactions
15 Replies
712 Views
Kama mdau wa uchumi wa maendeleo na uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, ningependa kuchangia kwa uelewa wa kitaalamu kuhusu hoja ya TZS 1.14 trilioni inayofanyiwa mijadala mingi ya...
2 Reactions
8 Replies
516 Views
Tunaposhangilia Chadema kujitoa kwenye Uchaguzi tukumbuke pia Uchaguzi utakuwa hauna Takrima Mlale unono cc: Lucas Mwashambwa
2 Reactions
6 Replies
296 Views
Kama Lissu akikubali kusaini, utaratibu gani utatumika? NEC itakwenda Keko au jambo gani litatokea? Na kama Lissu akikataa kusaini kutakuwa na ramifications gani? Athari gani? Na athari za ziada...
1 Reactions
9 Replies
937 Views
Hizi sauti ukipita mitandao yote unasikia sauti hizo za wanafiki. Mwingine kaenda mbali Simba na Yanga zifutwe baada ya kuona umma umepuuza matarajio tulijua mapema hawa keyboard warrior hawana...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Baada ya Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa hadhi ya Ubalozi Septemba 01, mwaka huu na Rais Samia Suluhu Hassan, wengi wamejiuliza juu ya vitu gani ambavyo Dkt. Slaa atavipoteza baada ya hadhi hiyo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika...
0 Reactions
6 Replies
822 Views
Kanuni moja muhimu sana na ambayo tumekuwa tukiitekeleza wakati wote humu jf ni kutokalia habari njema. Kwamba kunapotokea jambo zuri kokote Nchini Tanzania hatuna haja ya kukuficha Huu hapa ni...
6 Reactions
15 Replies
979 Views
Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora...
7 Reactions
78 Replies
2K Views
Back
Top Bottom