Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi yetu inahitaji ukombozi kamili ili tuweze kuendelea. Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa( Vyama vya Upinzani) wamekuwa mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii. Niwaombe sana tena...
1 Reactions
2 Replies
258 Views
Mwamba apewe; 1. Hadhi ya Ubalozi, 2. Ateuliwe Ubunge [viti maalum], 3. Apewe Uwaziri hata kwa siku chache tu, hili litainua CV yake huko WHO. **Vinginevyo mchuano ni mkali na kule huwezi kuiba...
4 Reactions
17 Replies
962 Views
Kumkamata Lisu, kumdhalilisha na kisha kumtengenezea kesi ya uhaini kwa sababu tu Tundu Lisu anapigania haki ya Watanzania wote, wakiwemo wanaCCM, na wasio na vyama, ili wakati wa uchaguzi kila...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mpaka siku umati wa wananchi utakapoamka usiku wa manane ukakusanyika pamoja sehemu moja kudai mabadiliko ya Nchi. Kupata katiba mpya itakayokuwa na haki ya kupata tume huru ya uchaguzi. Kama...
1 Reactions
6 Replies
424 Views
(1) Wengi wanadhani Tundu Lissu anapopinga “siasa za kupeana” anakataa tu mfumo wa CCM. Lakini kwa undani, Lissu anapaza sauti ya mabadiliko ya kweli — mabadiliko ambayo hata CCM wangenufaika nayo...
2 Reactions
6 Replies
385 Views
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CHADEMA na hata wasiokuwa na vyama, kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu, kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha kinakamata dola kwa nguvu ya...
0 Reactions
2 Replies
371 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu, ametoa pongezi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa (MB), kwa namna ambavyo amekuwa mstari wa mbele katika...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili...
3 Reactions
12 Replies
896 Views
Tanzania Ina eneo kubwa la ardhi kuliko Kenya, eneo kubwa la maji kuliko Kenya, mbuga nyingi za wanyama kuliko Kenya, uoto mzuri na ardhi kubwa ya kilimo kuliko Kenya. Tanzania Ina idadi kubwa ya...
5 Reactions
16 Replies
761 Views
Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Wataalam , kuna taarifa zinadai kuwa Injinia Gissima alikuwa anakwenda kuweka mambo sawa kwa maandalizi ya kipenga cha kugombea jimbo la Kwao…. Hivyo alikuwa ni Mtia Nia Taraji. Haya mambo...
5 Reactions
76 Replies
4K Views
Habari za mapumziko mabibi na mabwana. Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha...
2 Reactions
10 Replies
688 Views
Serikali inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye...
1 Reactions
1 Replies
495 Views
Raia wengi Watanzania huwa wanashangaa na kukejeli mtu (mtumishi wa umma, mfanyabiashara au mtu maarufu tu) aliyefariki mjini au aliyefiwa pale ambapo wanaenda kuzika na kukuta nyumba au mazingira...
5 Reactions
17 Replies
850 Views
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Maleko amesema serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya Bilion nne (4) katika Halmashauri ya Wilaya na ameunga...
1 Reactions
2 Replies
378 Views
Katika kuelekea kwenye sherehe za Mei Mosi, Kitaifa mkoani Singida, pamoja na mambo mengine wiki moja kabla ya maadhimisho, mkoa umewahakikishia wageni zaidi ya 6000 kutoka ndani na nje ya nchi...
3 Reactions
9 Replies
802 Views
Wakuu huyu mbunge aliyewahi kulia kwa kububujikwa machozi lukuki ambaye ni Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara amesema tarehe 28 watavuta fomu na ushindi upo kutokana na yale...
2 Reactions
3 Replies
488 Views
Back
Top Bottom