Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Masoud Kipanya katika kipindi cha Cloud Plus wakati wa kura za maoni za CCM nilimnukuu akisema Wajumbe wa CCM huenda hawakupewa rushwa kabisa lakini walikuwa wanajua Mgombea yupi ana hela kwamba...
13 Reactions
97 Replies
8K Views
Tayari vyama vingi kama si vyote vimefungua pazia kwa watia nia kuelekea ucjaguzi mkuu wa mwaka 2020. Kumekuwa na pilikapilika za huku na kule kwa wanachama wa vyama vya siasa kutia nia ya...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Kanda ya ziwa ni ya Magufuli Mwanza, Shinyanga, Kagera, Mara na Tabora na Simiyu. Membe anachukua mikoa ya kusini ya walima korosho Lindi, Ruvuma, Mtwara, kwa msaada na nguvu ya Zitto Kabwe Membe...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna barua inazunguka inayoonesha kuwa ni ya William Ngeleja aliyekuwa mbunge wa Sengerema akilalamikia zoezi la kura za maoni jimbo la Sengerema. Katika barua hiyo Ngeleja analalamika kuwa...
7 Reactions
51 Replies
8K Views
Wanabodi. Nawashauri Chadema kwamba: Andaeni ajenda msiandae wagombea. Wagombea wakipatikana kupitia michakato mliojiwekea watembee katika ajenda zenu kuu kulingana na jinsi nchi ilivyo kwa sasa...
11 Reactions
71 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Japo watakasirika lakini hamna jinsi,huu ndio ukweli japo wenyewe wanajinasibu kuwa vyama mbadala kushika dola lakini kiuhalisia wote akili yao ni kila chama kinataka kuwa chama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama. Chadema ni taasisi imara...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347. Nipashe. Kimahesabu hapo najua...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mtu unatoka bungeni ukiwa umekamilika na mzigo wako wa 200m+ kibindoni halafu kwenye kura za maoni unakuwa namba 3 huo ni uzembe uliotukuka. Hata sheria na kanuni zitakucheka. Maendeleo hayana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali. CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Baadhi ya wana CCM wamekipaka matope sana chama chetu sababu ya ubinafsi wao. Kilichotokea kwa baadhi ya majimbo husuani Sengerema ni aibu. Mabepari na watoa rushwa hasa jimbo la Sengerema...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
KATIBU WA MKOA CHAMA CHA MAPINDUZI, S. L. P. 19989 DAR ES SALAAM...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Asalaam aleykum... Kwanza kabisa niwatakie kheri ya Eid al Hajji ndugu zetu waislamu. Nimeona kwamba katika uchaguzi unaogarajiwa kufanywa mwezi October 2020 kuna mambo ambayo yanaumiza na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waungwana salaam Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu hivyo kila chama kimejiandaa kikamilifu kushiriki. Kwa upande wa ccm ni wazi na bayana kuwa Rais Magufuli atapitishwa kutetea nafasi yake...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Napenda kuwajulisha wapinzani wa kweli kuwa nimefanya utafiti wangu usio rasmi. Nimejaribu kupita Facebook, tweeter, Instagram na humu JF na kwenye vyombo vya usafiri nakugundua kwamba wananchi...
11 Reactions
83 Replies
8K Views
Aliye kuwa diwani wa kata ya Chala kwa muda wa miaka mitano kwa mwaka 2010 wilayani Rombo mkoani kilimanjaro Clara joseph Gwandu Ameingia katika kashfa na mgogoro mkubwa na wananchi wa vijiji vya...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wasalaam wanaJF, Kwa bahati nzuri nimefanikiwa kufuatilia mchakato wa kutafuta wagombea/wawakilishi wa nafasi mbalimbali kwenye vyama mbalimbali kwaajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Si mara moja au mbili namsikia rais Magufuli akikazia kuwa hataki matusi wakati wa kampeni. Nilimsikia wakati anavunja bunge nimemsikia tena leo pale Somanga akiwa njiani kurudi Dar. Magufuli...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi, yatoa ratiba ya utekelezajo wa Shughuli za Uchaguzi 2020
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Salamu zenu wakuu, Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu. Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili...
53 Reactions
137 Replies
14K Views
Back
Top Bottom