Uchaguzi 2020 Dhumuni la CHADEMA na ACT-Wazalendo ni kuwa Vyama vya Upinzani na sio kuunda Serikali

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Japo watakasirika lakini hamna jinsi,huu ndio ukweli japo wenyewe wanajinasibu kuwa vyama mbadala kushika dola lakini kiuhalisia wote akili yao ni kila chama kinataka kuwa chama kikuu cha upinzani na Mbowe na Zitto kila mmoja anataka kuwa KUB na lengo lao kuu ni kuongeza ruzuku

Kwa sasa Lissu na Membe wanatumika kama "midoli" kuvutia watu kupigia kura CHADEMA na ACT-Wazalendo na baada ya uchaguzi hawatakuwa "relevant" na siasa za Tanzania kwani kiu ya Membe kugombea urais itakuwa imeisha huku mahusiano ya Mbowe na Lissu yakiingia shubiri sababu ya ruzuku na madaraka ndani ya chama mambo ambayo yatasababisha Tundu Lissu kurejea ughaibuni kuganga njaa
 
We Dada kumbe upo!! We ulikuwa husemi Lissu atahamia ACT wazalendo? We hukusema TL hawezi kurudi!! Hiki kisokonoko chako km kimekuwasha hebu kipeleke kule naniii.... Kikadukuliwe kwanza acha kujadili waliokuzidi.
 
Ndugu zangu,

Japo watakasirika lakini hamna jinsi,huu ndio ukweli japo wenyewe wanajinasibu kuwa vyama mbadala kushika dola lakini kiuhalisia wote akili yao ni kila chama kinataka kuwa chama kikuu cha upinzani na Mbowe na Zitto kila mmoja anataka kuwa KUB na lengo lao kuu ni kuongeza ruzuku.

Kwa sasa Lissu na Membe wanatumika kama "midoli" kuvutia watu kupigia kura Chadema na ACT Wazalendo na baada ya uchaguzi hawatakuwa "relevant" na siasa za Tanzania kwani kiu ya Membe kugombea urais itakuwa imeisha huku mahusiano ya Mbowe na Lissu yakiingia shubiri sababu ya ruzuku na madaraka ndani ya chama mambo ambayo yatasababisha Tundu Lissu kurejea ughaibuni kuganga njaa.
Juliana Shonza , hujambo ???
 
Heading haieleweki. 'KUWA' VYAMA VYA UPINZANI NDIYO NINI ? MSIJE HUMU KAMA HAMJASOMA.
 
Wewe jukumu lako sikuwa mbunge wa viti maalum miaka nenda rudi, unashindwa kugombea Jimbo ukachaguliwa na wananchi huku umeshakua mzoefu bungeni.
 
Ndugu zangu,

Japo watakasirika lakini hamna jinsi,huu ndio ukweli japo wenyewe wanajinasibu kuwa vyama mbadala kushika dola lakini kiuhalisia wote akili yao ni kila chama kinataka kuwa chama kikuu cha upinzani na Mbowe na Zitto kila mmoja anataka kuwa KUB na lengo lao kuu ni kuongeza ruzuku

Kwa sasa Lissu na Membe wanatumika kama "midoli" kuvutia watu kupigia kura CHADEMA na ACT-Wazalendo na baada ya uchaguzi hawatakuwa "relevant" na siasa za Tanzania kwani kiu ya Membe kugombea urais itakuwa imeisha huku mahusiano ya Mbowe na Lissu yakiingia shubiri sababu ya ruzuku na madaraka ndani ya chama mambo ambayo yatasababisha Tundu Lissu kurejea ughaibuni kuganga njaa
Sijui kwanini unafikiri vibaya namna hiyo.
 
Back
Top Bottom