Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam. Hawa vijana wanadai mabadiliko, sijui hii picha kama ni halasi au edited ila sio ishara njema kwa ccm wenyewe.
0 Reactions
5 Replies
487 Views
Baba wabariki watumishi wako wafanye kazi pamoja na wewe. Sisi Watanzania tunasubiri Baraka zetu kutoka kwako. Kisa cha Samsoni kwenda kuoa Mke kwa Wafilisti Wazazi wa Samsoni Mzee Manoa...
2 Reactions
6 Replies
514 Views
Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete leo tarehe 29 Aprili, 2025 Amechangia Bungeni wakati Bunge likijadili Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha...
0 Reactions
4 Replies
507 Views
Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika; "Nimezingirwa nyumbani...
14 Reactions
186 Replies
11K Views
Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya...
15 Reactions
41 Replies
3K Views
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa marekebisho mengi yaliyofanywa katika sheria mbalimbali za kusimamia uchaguzi (mabadiliko ya sheria ya uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais; mabadiliko...
1 Reactions
12 Replies
598 Views
Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza. Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection]. Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
1 Reactions
14 Replies
603 Views
To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary. Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu. Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo...
22 Reactions
182 Replies
9K Views
My Take Watu wanaoishi Dar wanapata shida sana Kila siku taabu. Kuna likiwaka taabu joto kama Afghanistan na Khartoum Mvua ikinyesha mafuriko kilamaha vinyesi vinaelea njia hazipitiki. Hongera...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Tanzania - Comoro kuimarisha ushirikiano katika Usafirishaji Balozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu amemhakikishia Waziri mpya wa usafirishaji wa Comoro Bi. Hassane Alfeine Yasmine kuwa...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Wakuu, Nawasalimu, Kwa heshima na taadhima, napenda kutoa wito kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Tume Huru ya Kuchunguza Mwenendo wa Jeshi la Polisi, yenye dhamira ya...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Yo ma men, sikiliza hii game real quick... CAG ni OG wetu kwenye system, yaani Controller and Auditor General, the man supposed to check these sneaky-ass politicians when they misuse our tax...
2 Reactions
2 Replies
370 Views
Kesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha...
4 Reactions
85 Replies
4K Views
Huu ni ujumbe wangu kwako binafsi ewe Afisa Usalama wa Taifa mwenye uchungu wa dhati na nchi yako. Natambua ugumu wa wewe kuafiki haya nitakayoandika lakini naiachia nafsi yako ikutume au ikusute...
74 Reactions
939 Replies
123K Views
Ndugu zangu Watanzania, Embu Soma hapo chini habari hii ili uelewe ni namna gani CCM imekuwa ikitoa na kupika viongozi bora na makini ambao wanakuja kuwa Daraja la matumaini Duniani Kwote...
0 Reactions
141 Replies
4K Views
Hakuna haja ya kuwaza sana kiwatafuta watu wanaofanya mambo ya kuhatarisha amani,Ni vijana baadhii wa CCM ndiyo wanahatarisha amani,kama juzi mlimsiki katibu wao Nchimbi licha ya kupiga marufuku...
2 Reactions
15 Replies
680 Views
Man, listen up! This thing is getting outta hand now! Hii nchi yetu Tanzania, nchi ya amani, nchi ya watu wastaarabu — imegeuka kuwa uwanja wa political games and dirty power struggles! Na siyo...
29 Reactions
64 Replies
3K Views
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM DAR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, amekutana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii ni Makala Yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo. Angalizo: Hii Mada ni Swali na Alama ya Kuuliza iko wazi na sio Statement!. Nimeanza hivyo kwasababu mimi mwenzenu niliwahi kuitwa...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Vipi iwapo Chama chetu cha Chadema kitashinda uchaguzi wataruhusu au tuseme kukubaliana na nchi wanazozitegemea kuwapa sapoti, yaani Chadema itaruhusu uvutaji wa bangi na mambo mengine. Kila kitu...
0 Reactions
4 Replies
266 Views
Back
Top Bottom