Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli. Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu...
23 Reactions
98 Replies
11K Views
Makosa ya CCM Kilimanjaro katika Kura za Maoni yanavyoweza kuwagharimu Uchaguzi Mkuu 2020 Pamoja na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais John Magufuli na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Jimbo la Kigamboni ni moja kati ya majimbo ya uchaguzi katika jiji la Dar es Salaam Kama mmoja wa watia nia katika Jimbo hili ninakusudia kuchukua FOMU ya kugombea Ubunge katika Jimbo Hili...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imevitaka vyama vya siasa kuchagua watu makini ili kuepusha migogoro baina yao na Tume, pindi wanapotakiwa kukamilisha mchakato wa kupitisha majina ya wagombea...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari wakuu! Moja ya mambo niliyokirimiwa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuona jambo la sirini, au jambo la mbali. Muda mwingine naweza kusema am a spiritual scanner. Hili ninaloliandika si tetesi...
16 Reactions
89 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea...
4 Reactions
70 Replies
7K Views
Ni ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Na Ghati Chacha HII sio Chama Cha Mapinduzi(CCM) ninachokijua na kukulia kwa zaidi ya miaka 30. Chama kilichosimama mstari wa mbele katika kuwakomboa wananchi na unyonge wao, Chama kinachosimama...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kinakusudia kuweka wagombea katika majimbo na kata zote Tanzania Bara na Visiwani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi oktoba 2020 (Mwaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kamati Kuu ya ACT Wazalendo inafanya kikao leo 02 Agosti 2020. Kikao hichi ni maandalizi ya Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 05 Agosti 2020. Kikao kinafanyika Lamada Hoteli jijini...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mkutano wenu unaoanza leo umebeba matumaini kwa Watanzania wanyonge sio wanyonge wa CCM kina MO. Umebeba matumaini kwa wafanyakazi wa umma ambao hawajaongezewa mishahara kwa zaidi ya miaka mitano...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Wanataka twende naye akatetee ACACIA kutufisadi? Ni ngumu kwenda naye; wanataka twende naye kwenye sera ya kuwatetemekea wazungu. Anaweza toka Ubelgiji kwenda UK na Marekani kuongea, ila kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995. Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini...
8 Reactions
63 Replies
6K Views
Lissu anastahili na anafaa kupitishwa na CHADEMA kuwa mgombea wao wa Urais Sababu kuu kabisa ni mpinzani wa dhuluma halisi tangu utoto wake, hapendi watu kuonewa Wala kuonea,anapenda Haki na ndio...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea Pili, Membe mwana intelejensia Tatu, Membe ni mwana seminari Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili. 1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Mwaka huu kama umegombea kwenye kura za maoni, ukashinda halafu kamati kuu au wenye chama wakakata jina lako huna mbadala kama iliyokuwepo siku za nyuma, kwamba utakimbilia upinzani ugombee. Kama...
13 Reactions
54 Replies
6K Views
Inapotokea mtifuano ndani ya chama, wana CCM ambao hawaridhishwi na maamuzi fulani ya chama chao, hawako tayari kujenga nguvu ya kuipinga CCM kwa kuungana na vyama makini na vikongwe vya upinzani...
1 Reactions
3 Replies
766 Views
ACHUNGUZWA NA TAKUKURU MKOA WA MBEYA Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mbeya inamchunguza Bw ADAM HUSSEIN SIMBAYA wakala wa mgombea wa nafasi ya viti maalum UVCCM mkoa wa Mbeya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom