Uchaguzi 2020 Wachangiaji wa DW wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto kali kwa Rais Magufuli

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,360
2,000
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english

Ninakushukuru sana Kaka yangu Gwapo Mwakatobhe kwa ushauri ulioutoa kwa Tundu Lissu leo wakati ukichambua kupitia DW.

Umeshauri vizuri sana, lakini najiuliza ni namna gani ushauri huu utamfikia Lissu huko alipo.
Umesema
1. Asirudie kuwasema wale waliotaka kumuua kwa sababu atawapa umaarufu, ni sahihi kabisa atakuwa kama anawatukuza kwa uovu wao

2. Aende akawashukuru watu waliokuwa wanakesha kumuombea ili mungu amponye na pia akawashukuru wale wote waliodiriki kumtembelea kwenda kumjulia hali huko haspitali akiwemo makamu wa Raisi Samia Suluhu Hassan na Mzee Mwinyi

3. Aweke mkakati wa kuwepo maridhiano atakapokuwa ameapishwa kuwa raisi maana hili halikwepeki. Tutampigia kura na atashinda tu (tumechoka na maigizo ya kitapeli)

Umeongea mengi kama ulikuwa umeandika naomba uyaposti hapa yatatusaidia sana huko tuendako. Posti huku JF maana ukimpelekea live utatengeneza maadui kutoka kile chama cha wenye visasi.

Nasema hivyo home boy hawa wa kijani tunaishi nao kinafiki. Ukweli hatuwependi hata kuwaona tu. Wengine tunatamani itokee mapinduzi ili hicho kikundi kipigwe marufuku kama ilivyopigwa marufuku NAZI ya Ujerumani enzi Hitler.

Tunashukuru sana. Na nimefurahi mno.

Hongera poti
 
Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
943
1,000
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!!
Ngoja mataga waje wawakemee mabeberu!

Wakiletewa msaada wa madawa, kujengewa vyoo na miradi ya ufadhili kem kem wanawaita wafadhili na marafiki wa maendeleo
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
9,163
2,000
Luqman Malotto, Khalifa Said, Gwandumi Mwakatobe na Godlisten Malisa wanachambua vizuri matukio ya kisiasa yaliyojitokeza baada ya kushambuliwa kwa Tundu Lisu lakini nadhani wangechanganya watoa maoni/wachambuzi wenye mitazamo tofauti kidogo kwani katika wote hao angalau Mwakatobe ndio unawez kumuita yupo neutral katika itikadi za vyama

Jambo la kufurahisha ni kwamba wote wamelaani kitendo cha kushambuliwa Lisu na kuwalaani wote waliohusika kupanga, kutekeleza na hata kuunga mkono ukatili huo

Hawa DW mfumo wao wa mijadala ni mzuri sana sio kama BBC. Wanamuacha mchangiaji aongee na kujenga hoja yake bila kumkatisha. Mwenyekiti Mohamed Khelefu anaendesha mjadala kwa weledi sana
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
4,846
2,000
Wanachotakiwa wajue suala la shambulio la lissu sio kitu cha ajabu duniani ndio maana hata wazungu hawashikii kidedea sababu dunia ilishawahi kushuhudia shambulio dhidi ya rais wa dunia John Kennedy.

Nchi zilizoendelea zinajua fika dunia inaongozwa na kanuni zake.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,859
2,000
Hawajielewi mfano sisi CCM tulimptisha si kuwa akampe changamoto mgombea yeyote wa Cham a chochote Bali tunayeamini ataisimia na kuitekeleza ilani ya CCM

Lisu kumtuma eti akampa changamoto Magufuli mumeshindwa siasa tayari

Kwa Chadema anayeonyesha wazi kuelewa akiteuliwa atasimamia Nini Ni Nyalandu tu yuko organized, focused na ana hadhi ya muonekano wa kiraisi kuanzia lugha yaki staarabu na Wasifu wake umejaa barabara maeneo yote kuanzia kiuchumi ,kisiasa ,kimaadili,kidini na uwezo wa kumchukulia a na watu wote ndani na nje ya Chadema.Ni rafiki wa kila mtu Hana adui yeyote ndani na nje ya Chadema.Ana siasa za kushindanana kwa hoja Sio matusi na kejeli kwa yeyote au chama chochote

Ana pesa za kuendesha kampeni bila kubebesha mzigo chama au wanachama tofauti na Lisu ambaye alianza Kuomba kuchangiwa pesa Hadi za kuchukua fomu
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
6,817
2,000
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english
Wachangiaji gani ambao hata kujiandikisha hawajajiandikisha.
Hao ni wapambe nuksi.
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,245
2,000
Ninakushukuru sana Kaka yangu Gwapo Mwakatobhe kwa ushauri ulioutoa kwa Tundu Lissu leo wakati ukichambua kupitia DW.

Umeshauri vizuri sana, lakini najiuliza ni namna gani ushauri huu utamfikia Lissu huko alipo.
Umesema
1. Asirudie kuwasema wale waliotaka kumuua kwa sababu atawapa umaarufu, ni sahihi kabisa atakuwa kama anawatukuza kwa uovu wao
2. Aende akawashukuru watu waliokuwa wanakesha kumuombea ili mungu amponye na pia akawashukuru wale wote waliodiriki kumtembelea kwenda kumjulia hali huko haspitali akiwemo makamu wa Raisi Samia Suluhu Hassan na Mzee Mwinyi
3. Aweke mkakati wa kuwepo maridhiano atakapokuwa ameapishwa kuwa raisi maana hili halikwepeki. Tutampigia kura na atashinda tu (tumechoka na maigizo ya kitapeli)

Umeongea mengi kama ulikuwa umeandika naomba uyaposti hapa yatatusaidia sana huko tuendako. Posti huku JF maana ukimpelekea live utatengeneza maadui kutoka kile chama cha wenye visasi. Nasema hivyo home boy hawa wa kijani tunaishi nao kinafiki. Ukweli hatuwependi hata kuwaona tu. Wengine tunatamani itokee mapinduzi ili hicho kikundi kipigwe marufuku kama ilivyopigwa marufuku NAZI ya Ujerumani enzi Hitler.

Tunashukuru sana. Na nimefurahi mno.

Hongera poti
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
32,453
2,000
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english
Changamoto bila kushinda inasaidia nini?!
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,360
2,000
Hawajielewi mfano sisi CCM tulimptisha si kuwa akampe changamoto mgombea yeyote wa Cham a chochote Bali tunayeamini ataisimia na kuitekeleza ilani ya CCM

Lisu kumtuma eti akampa changamoto Magufuli mumeshindwa siasa tayari

Kwa Chadema anayeonyesha wazi kuelewa akiteuliwa atasimamia Nini Ni Nyalandu tu yuko organized, focused na ana hadhi ya muonekano wa kiraisi kuanzia lugha yaki staarabu na Wasifu wake umejaa barabara maeneo yote kuanzia kiuchumi ,kisiasa ,kimaadili,kidini na uwezo wa kumchukulia a na watu wote ndani na nje ya Chadema.Ni rafiki wa kila mtu Hana adui yeyote ndani na nje ya Chadema.Ana siasa za kushindanana kwa hoja Sio matusi na kejeli kwa yeyote au chama chochote

Ana pesa za kuendesha kampeni bila kubebesha mzigo chama au wanachama tofauti na Lisu ambaye alianza Kuomba kuchangiwa pesa Hadi za kuchukua fomu
YEHODAYA,
Hoja zako mara zote ni za kibanaishaji....!!
Neno changamoto we unalielewaje? Chanfamoto(challenge kwa kimombo) Ni neno pana linalomaanisha kutoa USHINDANI kwene nyanja yoyote iwe KISIASA au KIMICHEZO.
Uliwahi kusikia kitu inaitwa "CHALLENGE CUP" kwene michezo?
Ninajua CCM hantaki changamoto na ndo maana hamtaki kusikia KATIBA MPYA au TUME HURU ili kukwepa changamoto....!!!

Timewasikia Mara nyingi mkitamba kuwa MGOMBEA WA CCM AKISHATELIWA NDIYE RAIS kabla hata ya kupiga kura....!!! Hii yote Ni woga wa challenge toka Upinzani!!!

Nakuhakikishia Kama tutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi huyo JIWE wako haoni ndani kwa TAL!!
Lakini kwa vile mmezoea KWIBA KURA endeleeni kujifurahisha ATI kuwa Wapinzani tayari wameshindwa.....!!!
Kuna siku hamtaamini kitakachotokea!
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,245
2,000
Hawajielewi mfano sisi CCM tulimptisha si kuwa akampe changamoto mgombea yeyote wa Cham a chochote Bali tunayeamini ataisimia na kuitekeleza ilani ya CCM

Lisu kumtuma eti akampa changamoto Magufuli mumeshindwa siasa tayari

Kwa Chadema anayeonyesha wazi kuelewa akiteuliwa atasimamia Nini Ni Nyalandu tu yuko organized, focused na ana hadhi ya muonekano wa kiraisi kuanzia lugha yaki staarabu na Wasifu wake umejaa barabara maeneo yote kuanzia kiuchumi ,kisiasa ,kimaadili,kidini na uwezo wa kumchukulia a na watu wote ndani na nje ya Chadema.Ni rafiki wa kila mtu Hana adui yeyote ndani na nje ya Chadema.Ana siasa za kushindanana kwa hoja Sio matusi na kejeli kwa yeyote au chama chochote

Ana pesa za kuendesha kampeni bila kubebesha mzigo chama au wanachama tofauti na Lisu ambaye alianza Kuomba kuchangiwa pesa Hadi za kuchukua fomu
We mpalange kweli wewe. Unawachagulia mgombea? Ndio maana uko lumumba kazi kulamba viatu
 
Msukuma Original

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
346
1,000
Hawajielewi mfano sisi CCM tulimptisha si kuwa akampe changamoto mgombea yeyote wa Cham a chochote Bali tunayeamini ataisimia na kuitekeleza ilani ya CCM

Lisu kumtuma eti akampa changamoto Magufuli mumeshindwa siasa tayari

Kwa Chadema anayeonyesha wazi kuelewa akiteuliwa atasimamia Nini Ni Nyalandu tu yuko organized, focused na ana hadhi ya muonekano wa kiraisi kuanzia lugha yaki staarabu na Wasifu wake umejaa barabara maeneo yote kuanzia kiuchumi ,kisiasa ,kimaadili,kidini na uwezo wa kumchukulia a na watu wote ndani na nje ya Chadema.Ni rafiki wa kila mtu Hana adui yeyote ndani na nje ya Chadema.Ana siasa za kushindanana kwa hoja Sio matusi na kejeli kwa yeyote au chama chochote

Ana pesa za kuendesha kampeni bila kubebesha mzigo chama au wanachama tofauti na Lisu ambaye alianza Kuomba kuchangiwa pesa Hadi za kuchukua fomu
Wewe mwehu kweli. Unataka kutuambia wewe ccm unapenda Nyalandu ashinde urais wa Tanzania? Lissu ndio habari ya mjini. Msituzuge eti Nyalandu anafaa kwa kuhofia Lissu atachukua nchi. Mnampigia promo Nyalandu kwa sababu hawezi kutoa ushindani kama wa Lissu.
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,360
2,000
Luqman Malotto, Khalifa Said, Gwandumi Mwakatobe na Godlisten Malisa wanachambua vizuri matukio ya kisiasa yaliyojitokeza baada ya kushambuliwa kwa Tundu Lisu lakini nadhani wangechanganya watoa maoni/wachambuzi wenye mitazamo tofauti kidogo kwani katika wote hao angalau Mwakatobe ndio unawez kumuita yupo neutral katika itikadi za vyama

Jambo la kufurahisha ni kwamba wote wamelaani kitendo cha kushambuliwa Lisu na kuwalaani wote waliohusika kupanga, kutekeleza na hata kuunga mkono ukatili huo

Hawa DW mfumo wao wa mijadala ni mzuri sana sio kama BBC. Wanamuacha mchangiaji aongee na kujenga hoja yake bila kumkatisha. Mwenyekiti Mohamed Khelefu anaendesha mjadala kwa weledi sana
Hao vichaa na Mataga wa CCM wao wanadai ati Mohamed Khelefu anatumiwa na Mabeberu....Ni ajabu na kweli!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom