Nadhani sasa kupitia changamoto iliyomkuta Padre Kitima nimepata majawabu ya maswali yote mawili yaani langu na la mchungaji Erasto
Ila shehe Hussein Yahya tukiwa msibani kwa shehe wa msikiti wa...
Yaani bro, let’s keep it 100—sio kwamba hatujui kinachoendelea kwenye hii nchi, au hatujali siasa… we know everything, tupo macho, but truth be told hatuna muda na hizo stress. Life yenyewe ni...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka viongozi wa kisiasa hususan wabunge kutojisikia vibaya pindi watu wengine watakapoingia kwenye nafasi zao, kwani ni jambo la kawaida.
Miaka ile Mei mosi ilikuwa Sikukuu kweli kweli ya Wafanyakazi
Uwanjani lazima wawepo JUWATA Jazz Band Msondo Ngoma 😂
Mashirika ya Umma yalitamba kweli kweli
Siku hizi Mei Dei ni Sikukuu ya...
Mhe. Rais sisi Wastaafu tunakupongeza sana kwa kuwaongezea watumishi wa umma mishahara yoa ya kila mwezi. Mhe Rais tunakuomba sana na sisi WASTAAFU uone namna ya kutuongezea pensheni yetu sisi...
Kipindi cha Cafe Talk kimefanya mahojiano kutoka watangazaji wa vipindi mbalimbali nchini kuhusiana na kanuni za Tume huru za uchaguzi ambao unatarajiwa kifanyika mwaka huu mwezi wa kumi. Ambapo...
Tangazo la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa kima chini Cha 370,000 kabla ya Kodi na kufikia tsh 500,000 kabla ya Kodi! Halijaifurahisha nchi !
Nchi haijafurahi ! Wananchi wana sonona ...
Polisi wamejipanga vizuri kuelekea uchaguzi mkuu ... Jambo hapa enzi hizo ikiitwa jambo furums mababu mnaikumbuka .
Wamekamatwa wafuasi na wasiokuwa wafuasi wa CHADEMA siku ya mwanzo ya kesi ya...
Mifano ni mingi sana kutoka sehemu mbalimbali za dunia, wangapi walivuma na kujiona ndio wao tu, mbona wameondoka tena wengine kwa aibu. Mimi sio mtu wa siasa wala sina kadi ya chama chochote ni...
Najiuliza kila wakati hivi katika Nchi hizi mbili zilizoungana yaani Tanganyika na Zanzibar ni watu au raia kutoka Pemba tu ndio wenye ujasiri wa kupambana na CCM kwa hali na mali?
Hili suala au...
Kijana anayesemekana aliingizwa chupa sehemu za haja kubwa na Mheshimiwa Naibu Waziri (Mstaafu) na Mbunge wa Babati Mjini anastahili huduma za kisaikolojia vinginevyo tutampoteza Kwa kadhia Ile.
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu Nchini Ndg Geofrey Kiliba amewaeleza wanavyuo wa mkoa wa Dar es Salaam Kuwa huu ni wakati Sahihi Wa kuwakumbusha wasomi kuhusu uchaguzi...
Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion .
Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy...
Magesa Inyasi, mwenye ulemavu wa macho na mkazi wa Musoma Mjini mkoani Mara amejipatia umaarufu mkoani hapo kutokana na kipaji chake cha kipekee cha kutunga nyimbo za papo kwa papo kulingana na...
Anaandika Ansbert Ngurumo:
UTAWALA wa Rais John Magufuliumeendelea kujizolea kashfa ya kutumia “silaha ya uraia” katika kukomoa raia, kuzima sauti za wananchi na kulipiza visasi.
Zamu hii...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa wito kwa wafanyakazi nchini kuhakikisha wanadumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu, akisema amani ni nguzo muhimu ya upatikanaji wa haki na ustawi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya...
Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao.
Ameeleza kuwa bado anaendeleza...