Mshahara mpya umeongezwa lakini nchi Haina furaha

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
2,308
Reaction score
4,687
Tangazo la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa kima chini Cha 370,000 kabla ya Kodi na kufikia tsh 500,000 kabla ya Kodi! Halijaifurahisha nchi !

Nchi haijafurahi ! Wananchi wana sonona ! Tendeni haki kwanza ndipo mlete maongezeko ya mishahara ! Bashungwa mdogo wangu ni mlokole safi lakini cheo hupofusha !

Leo huyaoni yote yanayotendeka kwa sababu ya kuulinda ugali usimwagike? Chagua moja mdogo wangu ! Kuwa upande wa Mungu ama wa shetani ,,kusimama na mfalme au kusimama na Mungu !
 
Tangazo la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa kima chini Cha 370000 kabla ya Kodi na kufikia tsh 500000 kabla ya Kodi! Halijaifurahisha nchi ! Nchi haijafurahi ! Wananchi wana sonona ! Tendeni haki kwanza ndipo mlete maongezeko ya mishahara ! Bashungwa mdogo wangu ni mlokole safi lakini cheo hupofusha ! Leo huyaoni yote yanayotendeka kwa sababu ya kuulinda ugali usimwagike? Chagua moja mdogo wangu ! Kuwa upande wa mungu ama wa shetani ,,kusimama na mfalme au kusimama na mungu !
Tunashukuru kwa uzi wako ambao umetoa tathmini ya hotuba ya leo,
Kwanza nianze kwa kusema hivi , hata angesema mshahara umeongezeka kwa 80% hadi 100% bado ambao wangefurahi ni wahusika wa hiyo mishahara,
Mfano idadi ya watumishi wa umma inakadiriwa 560 000 hadi 600 000 kwa idadi ya watu 61m ambayo ni sawa na 0.96% au 1% katika 100%.
Sasa kwa takwimu hapo juu tena sio wote ni wackima cha chini tu, Nchi itahusika vipi kwa ujumla wake kufurahi?
Kiufupi sio rahisi kufurahisha watu woote.
Naomba kuwasilisha
 
Uko sahihi lakini hoja yangu ni kutatuliwe kwanza matatizo ya kitaifa ndipo yaje Yale ya kitaasisi
 
Tangazo la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa kima chini Cha 370000 kabla ya Kodi na kufikia tsh 500000 kabla ya Kodi! Halijaifurahisha nchi !

Nchi haijafurahi ! Wananchi wana sonona ! Tendeni haki kwanza ndipo mlete maongezeko ya mishahara ! Bashungwa mdogo wangu ni mlokole safi lakini cheo hupofusha !

Leo huyaoni yote yanayotendeka kwa sababu ya kuulinda ugali usimwagike? Chagua moja mdogo wangu ! Kuwa upande wa Mungu ama wa shetani ,,kusimama na mfalme au kusimama na Mungu !
Furaha huna wewe kwann wenzako tuna furaha na kamwili kananona we endelea hvyo hvyo kutokua na furaha
 
Binadamu hamna shukurani,hizo ndio siasa tunataka,sifa ambazo tunataka,aje kwetu atuhonge barabara ya lami,aende kimara amalize tatizo la maji,Wana chuo awahonge mikopo,wafanya biashara unafuu wa Kodi..
 
Tangazo la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa kima chini Cha 370,000 kabla ya Kodi na kufikia tsh 500,000 kabla ya Kodi! Halijaifurahisha nchi !

Nchi haijafurahi ! Wananchi wana sonona ! Tendeni haki kwanza ndipo mlete maongezeko ya mishahara ! Bashungwa mdogo wangu ni mlokole safi lakini cheo hupofusha !

Leo huyaoni yote yanayotendeka kwa sababu ya kuulinda ugali usimwagike? Chagua moja mdogo wangu ! Kuwa upande wa Mungu ama wa shetani ,,kusimama na mfalme au kusimama na Mungu !
Kwakuwa wewe sio mfanyakazi na sio mfanyabiashara, ongezeko hili kweli limekuletea sonona!
 
Back
Top Bottom