Polisi wamejipanga vizuri kuelekea uchaguzi mkuu ... Jambo hapa enzi hizo ikiitwa jambo furums mababu mnaikumbuka .
Wamekamatwa wafuasi na wasiokuwa wafuasi wa CHADEMA siku ya mwanzo ya kesi ya Mheshimiwa Lisu kwa visingizio mbalimbali ,tuseme vinakubalika/havikubaliki.
Kati ya habari between the line.
Je mnakubali kuwa waliokamatwa walikataliwa kupokelewa vituo mbalimbali vya polisi WALIVYOPELEKWA ?
Je mnakubali kuwa waliokamatwa hawakuweza kupokelewa hospitali wakiwa chini ya mikono ya polisi ?
Hivyo ikubalike Wakuu wa vituo walikataa dhamana kwani hakuna amri waliyotoa wao au kuipokea kutoka ngazi za juu.
Polisi hawakuweza kuandikisha kesi na kupata barua ya kupokelewa hospitali hivyo waliwatupa waliowakamata pembeni mwa mahospitali.
Wengine walienda kutupwa misituni baada ya kupatikana habari baadhi wamekataliwa hospitali.
Ukiunganisha matukio utaona kuna mtu nyuma ya Pazia alitumia labda cheo au mamlaka yake kuwaamuru watu wake anaowaweza ndani ya Jeshi la Polisi kuwapa kiachapo CHADEMA. Polisi wakidhani ni kama zamani walitesa kuumiza kutafunisha, Wakuu wa Polisi wamekataa kuwahifadhi walioumizwa wakiambiwa warudisheni kwa waliowatuma, unaweza kusema hivyo.
Mkuu wa polisi inabidi awatoe KAFARA waliotekeleza ukamataji na ilikuwaje vituo vya POLICE viliwakataa washikiliwa ,hadi kurandishwa vituo vyote hadi jioni na kushindikana waumizwa kukubaliwa ??? Mkuu wa kituo kilichotoa askari kutekeleza ulinzi Mahakamani alikataa kuwapokea waliokamatwa ? IGP pekee ndio anaweza kutuletea ukweli na ikionekana uzembe awatimue na kuwafungulia mashitaka waliosababisha waumizwa kurandishwa kutoka kituo kimoja hadi kingine na vyote viliwakataa.