Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi. Watu wa kusini ni next...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamedai kuwa wataendelea kuandamana kwenda Ofisini kwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mbeya kwa lengo la kumpa ushahidi wa watu wanaodai ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
"Mnatoa matamko kwa viongozi wa juu kwa mamlaka gani mfano kipindi cha Yesu wangetoa matamko kwamba Yesu asisulubiwe je mngesamehewa dhambi zenu" - Ustadh Mazinge Soma Pre GE2025 - DSM - Wakili...
0 Reactions
12 Replies
642 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima katika mahojiano na CG FM Radio amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuwashawishi wananchi kujitokeza...
0 Reactions
7 Replies
599 Views
Hii ndio njia pekee na dawa ya Mua40 Itakayokomesha hicho kikundi cha kigaidi kisichojulikana na vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania. Kinachoteka watu mchana-usiku kupoteza na kuua raia Nchini...
2 Reactions
11 Replies
533 Views
Nimeona thread nyingi za wanazuoni wa Ki-Islamu wiki hii kuliko wakati mwingine mwezi uliopita. Hii inafuatia kupigwa na kujeruhiwa kwa Pd. Kitima ambaye ni Katibu wa TEC. Nimewahi kuona pia...
5 Reactions
6 Replies
556 Views
Leo Rais Magufuli anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za uzinduzi wa Maktaba ya Kisasa na Kituo cha Kichina pale UDSM. Imejengwa kwa ushirikiano wa China na inaweza kuhudumia Wasomaji...
17 Reactions
300 Replies
47K Views
Maaskofu wa Kenya walikataa na kumrudishia rais Ruto pesa aliyoitoa kusaidia kanisa kwa kuogopa kuweka uhuru wao rehani. Leo tumesikia Samia akimpa askofu wa Bagamoyo zawadi ya milioni 20. Hii...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Ni kwasababu ya sera zake nzuri za kitaifa na kimataifa na mipango mikakati yake bora na muhimu sana inayolenga na kukusudia mabadiko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania...
5 Reactions
113 Replies
3K Views
HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM. Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai...
4 Reactions
55 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Wilaya ya Misungwi, Francis Mazigo, ametangaza rasmi kujivua nafasi yake ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC)...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Kuna watu wanadhani Tanganyika ilipewa Uhuru wa mezani baada ya Nyerere kwenda UNO Ukweli ni kuwa kuna makabila machache sana yalipigana vita kumuondoa mjerumani wakiongozwa na wahehe Chini ya...
18 Reactions
84 Replies
4K Views
Askofu Lazarus Vitalis Msimbe wa Jimbo Katoliki Morogoro akitoa mahubiri kwenye adhimisho la ibada ya Misa ya kusimikwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo.
1 Reactions
3 Replies
437 Views
Vita bado ni kali, ila hawatashinda. Katika kesi hiyo, walalamikaji ni baadhi ya viongozi wa bodi ya wadhamini wa chama wakiwa na jumla ya hoja 7 wanazotaka mahakama izifanyie kazi mojawapo...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya...
7 Reactions
62 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Msalala mkoani Shinyanga, Iddi Kasimu amewapatia usafiri wa baiskeli bure wenyeviti wa serikali za vijiji 92 vya halmashauri ya Msalala, utakaowasaidia kufuatilia utekelezaji wa...
0 Reactions
8 Replies
688 Views
Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Ulaya makanisa yalianza kufa baada ya viongozi wa dini kujitosa kwenye siasa ,Tanzania linakuja taratibu Viongozi wa dini walianza kuhubiri umuhimu wa demokrasia. Wakati huo serikali ilikuwa...
-1 Reactions
75 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…