Serikali iwe macho sana na Lissu na watu wake

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
319
Reaction score
755
Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).

Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!

Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!

Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!

Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!

MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!

Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!

Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!

PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿

I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)

II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣

III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!

IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿

Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!

Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!

Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!

Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!

TANZANIA KWANZA!
 
Hakuna lolote, CHADEMA hii haina lolote la kufanya.. As long as machimbo ya Madini na Mafuta yanaendelea kuwanufaisha mabwanyenye, Tanganyika itakuwa tulivu milele...

Machafuko yataletwa na wananchi wenyewe , kwahiyo tuendelee kuwa wapole tutunze Amani..
 
Samia atoboi ...mzanzibar kuongoza wabara tena kipuuzi na kifisadi ni big no ...
 
Ni kweli kwamba Lissu na timu yake wamejipanga na hakuna tena wa kuwazuia, mmechelewa, bali katika kundi hilo hakuna aliyeshangaa Lissu kukamatwa maana hiyo ni sehemu ya plan yao na walijua atakamatwa na walijiandaa
 
Amani kwanza...na yeyote anaevuruga amani anyooshwe..hatuwezi kuacha kuuza pweza na supu yake jioni kwenye watu wengi eti kisa mjinga mmoja ameharibu amani yetu..NEVER
 
Anaye haribu uchaguzi ni yule asiye taka kuufanya uwe huru na wa haki , huyo lissu mnajichumia dhambi tuu! Kajitoa kuwasilisha mahitaji ya wananchi na na hilo lilionekana kwenye mwitikio wa wananchi katika mikutano yake, ndio maana hata idadi ya wapiga kura imeshuka kwa 56% hali inayo pelekea CCM kutumia walimu kujaza kura bandia kwenye masanduku na kutumia polisi kuhakikisha ulinzi.

Kituo wamejiandikisha watu 609 wanao jitokeza kupiga kura kihalali ni 133 na ndipo hapo zinajazwa kura bandia kufikia idadi ili baadae ionekane uchaguzi umeenda vyema na hiyo ya kura bandia ndiyo inayo sababishaga mawakala wa vyama vingine kutolewa kwa nguvu ndani ya vyumba vya uchaguzi ili kupata nafasi ya kulifanya hayo
 
Amani kwanza...na yeyote anaevuruga amani anyooshwe..hatuwezi kuacha kuuza pweza na supu yake jioni kwenye watu wengi eti kisa mjinga mmoja ameharibu amani yetu..NEVER
Mbona sasa hamuanyooshi wanaoharibu amani kwa kuteka watu na kuua watu hovyo?
 
Hivi mkuu wanatekwa watu wote?..hiyo formula ipo duniani kote ...wale thriters to the kings huwa wanashughulikiwa ipasavyo...unafikiri hata nyie mkiingia madarakani hamtaitumia hio formula?..lazima muitumie ili kisurvive...mfano hata LISU alivyoingia madarakani aliwafukuza kwenye chama wale wakosoaji wake ..ni vile Hana Dola lakini angekuwa na Dola Sasa hivi akina mrema wangekuwa rip...
 
Sawa
 
Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).

Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!

Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!

Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!

Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!

MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!

Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!

Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!

PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿

I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)

II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣

III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!

IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿

Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!

Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!

Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!

Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!

TANZANIA KWANZA!
Kama UJINGA NI KIPAJI BASI UNA KIPAJI CHA UJINGA.
KWANI LISSU KUGOMEA HIVYO TAJA KUNA MADHARA GANI KWA TANGANYIKA?
MTU KUTETEWA NA MAWAKILI WENGI KWAKO NI MPANGO UVU?
 
Kwa hili rais akae meza moja na wapinzani warekebishe kasoro za uchaguzi ili kulinda amani na haki kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom