1. Huyu askari most likely hakuwa na ugomvi binafsi na Mdude, , alikuwa anafanya aliyotumwa na wakubwa. Sema ilibidi ajiongeze "asimuue" hata kama alipata amri hiyo!
2. Hizi ni drama tu hakuna...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya vizuri zaidi ya baadhi ya Viongozi wa kiume...
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi amewataka Viongozi wa vyama vya kisiasa kutumia mafunzo ambayo Ofisi yake imewafunda kwa ajili ya kujenga mtazamo mpya na chanya, ambapo muktadha...
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, akipokewa na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm alipoingia ofisini kwa mara ya kwanza leo Mei 5, 2025. Mbali ya Sweden...
Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) tunalaani vikali utamaduni mbaya ulioanza kujengeka nchini kwetu miaka ya hivi karibuni ambapo vyombo vya umma vya kusimnamia haki na na kulinda usalama wa raia...
Kuna watu wasio na hatia walikwamatwa mahakamani walipoenda kumfariji kiongozi wao lissu na kupigwa kisha kutupwa msituni,
Sasa CHADEMA na Watanzania walihoji kuhusu hili suala linalo kiuka haki...
CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani.
CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au...
Nukuu;
1. Bora kuadhibiwa kwa kusema ukweli,
2. kiongozi usitimie mamlaka kwa kulazimisha watu kufuata matakwa yako binafsi. Wapo Dr. Mpango na RC Dar Es Salaam.
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi anatakiwa kukifutia usajili wa kudumu mara moja chama cha mapinduzi (ccm), ni baada ya kuonyesha dalili za kuvuruga amani ya nchi.
Kuna kila...
Baada ya Shambulio la KITIMA , RPC Muliro akajiwahi kutoa Taarifa yenye lengo la kupotosha .
Baada ya Shambulio la Mdude, RPC Mbeya akajiwahi nayeye kutoa tamko kwamba hawajamkamata Mdude.
Sasa...
Mfumo wa Tanzania umekita mizizi kwenye dola na mihimili mikuu ya nchi. Mageuzi hayawezekani kirahisi kama kwa majirani zetu.
Nchi inaongozwa zaidi na mfumo kuliko watu
UONGOZI WA MIKOA / WILAYA...
IGP Kenya
.
IGP Zambia
IGP Uganda
IGP Tanzania.
Malawi IGP
Rwanda
IGP Rwanda
Burundi IGP
DRC IGP
DRC
Ukitazama hizo picha kuna jibu linakukia kuhusu aina ya Viongozi tulio nao hii...
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata...
Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara...
Najiuliza mbona shekhe Yahya alipotabili kifo Cha kiongoZi mkubwa wa awamu ya Tano hakukamatwa?
Lipo kosa la aliyetabili yakuwa siku za FAZA kitima zinahesabika na kweli kashambuliwa alimanusura...
Katika wale watanzania ambao watapiga Kura kukuchagua wewe basi na Mimi ni mmoja wapo kukuchagua wewe Rais wangu Mama yetu mlezi Samia Suluhu Hassan.
Sio uchawa Ila nimezaliwa ndani ya Chama Cha...
"...mtandao wa Tiktok ndio mtandao pendwa wa watoto wetu wanafunzi, lakini ndio mtandao unaoongoza kwa maudhui mabaya, nini mkakati wa Serikali kuhakikisha wanadhibiti mtandao huu ili kunusuru...
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?
Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June...