SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Hivi ni kwa nini yale matreni mengine hayapigi kazi wakati kila siku watu wanakosa tiketi kwa kuwa treni imejaa?SGR ipo lakini behewa zinapigwa jua stesheni ya Pugu, Soga na Ruvu. Sasa sisi tufanyaje? Acha tumalizane barabarani.
Ndio kipindi hiki mkuu!!?Madereva wa Serikali wanaendesha vibaya sana barabarani, Serikali inapaswa kutofumbia macho suala hili.
Mpaka mradi ufe kama mwendokasi ndio tutaamkaHivi ni kwa nini yale matreni mengine hayapigi kazi wakati kila siku watu wanakosa tiketi kwa kuwa treni imejaa?
ujinga ni Bei kubwa we unaekaje royal 150k si upumbafu huu! weka 60K mwishoSGR ipo lakini behewa zinapigwa jua stesheni ya Pugu, Soga na Ruvu. Sasa sisi tufanyaje? Acha tumalizane barabarani.
Kwa sababu Mama anaupiga mwingi na Mitano tena!Hivi ni kwa nini yale matreni mengine hayapigi kazi wakati kila siku watu wanakosa tiketi kwa kuwa treni imejaa?
"Vifo ni vifo"
Wapumzike kwa amani waliotangulia.
Mpaka watakapofuata sheria za barabaraniHali hii itaendelea mpaka lini?
Au madereva wanakunywa pombe?Juzi mmekatisha uhai wa Boss wa TANESCO Leo tena mmesababisha vifo vya maboss zetu kwa ajali Dakawa. Hali hii itaendelea mpaka lini?
Rip mwendo kasi aisee duh. ---Mpaka mradi ufe kama mwendokasi ndio tutaamka
Acha wafe na sie wengine tupate ajira na vyeo.Juzi mmekatisha uhai wa Boss wa TANESCO Leo tena mmesababisha vifo vya maboss zetu kwa ajali Dakawa. Hali hii itaendelea mpaka lini?
Amen 🙏"Vifo ni vifo"
Wapumzike kwa amani waliotangulia.