Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna watu wanasema Nyerere aliacha viwanda ukweli ni kwamba viwanda vililetwa na waziri wake genius Cleopa David Msuya. Yaani Msuya ndiye aliyekuwa waziri ambaye ni strategist zaidi ya uwana siasa
2 Reactions
4 Replies
391 Views
Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah! Amesema watanzania hawataki viongozi...
16 Reactions
483 Replies
40K Views
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa...
1 Reactions
16 Replies
902 Views
Mkikaa kimya mawe yataongea. Musukuma ameshangilia kazi za awamu ya sita.
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Nashangaa CCM bado hawajabid kununua JAMBO FORUMS which would come as cheap as peanuts.Unless JF bado haina impact kama invyokuwa hyped. Imagine Mwanakijiji angeweka zile picha... Close allies of...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwanangu Tundu Antipas Lissu Mughwai, Salamu toka kwa baba yako na wapenzi na mashabiki wako. Nakusalimu kwa jina la Jamhuri yenye haki ya Tanzania. Japo tunawasikia wakihaha, uzuri ni kwamba...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti. Kwa nini watu wengine...
3 Reactions
4 Replies
727 Views
Ninezipata sehemu Kufuatia watu kumwangusha mkuu kwa sekta mbali mbali kuanzia 1. Ubalozi 2. Uwaziri 3. Ukatibu Mkuu 4. Ukuu wa mkoa 5. Ukuu wa wilaya, Sekta hizo zitaguswa sana, watapukutika...
40 Reactions
239 Replies
42K Views
Binafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :- 1 . January Makamba 2. Mwigulu Nchemba 3. Nape Nnauye...
40 Reactions
146 Replies
15K Views
https://youtu.be/Um8sc9LW6bs?si=YZuMeOBmA6cRHtUj
1 Reactions
7 Replies
694 Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akiizundua Sera mpya ya Elimu ya Taifa hilo amezitaka mamlaka zinahusika kuhakikisha mashirikiano baina ya Serikali na...
21 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu, Wale wapenzi wa soka la Tanzania, mna salamu zenu huku! Akiwa anazungumza bungeni leo, Mbunge wa Busega, Simon Lusengekile ametaka mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kati ya...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Dr bashiru aahaidi kumtoa madarakani Zitto Kabwe ====== Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kinajipanga kuibuka na ushindi wa ubunge katika jimbo la...
4 Reactions
52 Replies
9K Views
Balozi Yakubu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Comoro Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi wa Comoro Mhe. Nour el Fatih Azali...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Siasa ni saikololojia....siasa ni mbinu...siasa ni kufitinishana. kwa kuwa Ccm kwa makusudi, imeamua kuhamisha attention ya wananchi kuhusu mambo yao muhimu....na kuyaelekeza kwenye kujadili...
1 Reactions
4 Replies
503 Views
UJENZI WA SHULE MPYA YA KISASA YA SEKONDARI - NYAKANAZI.* Juhudi za mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa zinaonekana hapa katani nyakanazi, ujenzi wa shule mpya na ya kisasa ya...
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Vijana wetu walijiunga na jeshi la polisi kwaajili ya kuwatumikia watanzania ambao ni ndugu zao na sio raisi wala mkuu wa majeshi pekee kwani hawa ni sehemu ndogo tu ya Tanzania, nchi ni zaidi ya...
1 Reactions
1 Replies
307 Views
Mtu anaeweza kuuwa na kusingizia watu kesi kwasababu ya tamaa za madaraka hapaswi kuaminiwa wala kuungwa mkono hana akili kabisa huyo. Lazima tuunge mkono kwa wapigania haki na uhuru ndio jambo...
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Wahenga walisema, ogopa sana mwanamke aliyeamua kumwacha mumewe, halafu kila siku anamsema huyo aliyekuwa mumewe. Na tena walisema, ogopa sana, na ukimbie kabisa, kama una mahusiano na mke wa mtu...
2 Reactions
2 Replies
319 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…