TAHLISO yapinga wanaoidharau Elimu ya Tanzania

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,923
Reaction score
6,538
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.

Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, Kiliba amepongeza serikali kwa hatua thabiti ilizochukua kuboresha elimu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu, kuongeza bajeti ya elimu, na kuwekeza katika maendeleo ya walimu na wanafunzi.

Ametoa kauli hiyo wakati akichambua bajeti ya Wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2025/2026 , akieleza kuwa bajeti hiyo inaonyesha mwelekeo chanya wa mageuzi katika sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya taifa.

Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote.

Baed huyo anatafuta ajira
 
Bodaboda inamsubiri punde tu akimaliza chuo
 
Chawa mtoto!
 
Madhara yakulea uchawa ndio matokeo yake haya sasa, huyu kamwe na elimu yake hataweza ku embrace creativity, mtizamo tu unaonesha.

Mbaya sana kama ndio kiongozi wa wasomi!
 
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.

Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, Kiliba amepongeza serikali kwa hatua thabiti ilizochukua kuboresha elimu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu, kuongeza bajeti ya elimu, na kuwekeza katika maendeleo ya walimu na wanafunzi.

Ametoa kauli hiyo wakati akichambua bajeti ya Wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2025/2026 , akieleza kuwa bajeti hiyo inaonyesha mwelekeo chanya wa mageuzi katika sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya taifa.

Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote.

Ajiandae kwenda veta
 
Naona matope inatokota
 
Wachawee

😂
 
Huyo anajua nini zaidi ya uchawa?

Siku hizi ili uwe rais wa TAHLISO na organization za wanafunzi vyuoni ni lazima uwe mwanachama wa sisiem! Hata mabaraza ya mawaziri uchwara vyuoni yanaundwa kwa kuzingatia uanachama wa kijani!
 
Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote
Akiulizwa maana ya haya maneno hawezi kujibu hata Kwa facts mbili zinazowexa kueleweka!

Akiambiwa awataje stakeholders wa elimu sidhani kama anawafahamu haya kidogo

Akiambiwa aeleze elimu Bora ni ipi na je hii elimu ya Tanzania unayizalisha wasomi wasioajrika ni Bora au si Bora sidhani kama atajibu. Akiulizwa kwamba ni kwanini hata wanufaika wa hii elimu licha ya kutoajirika hawawezi kujiajiri ikiwemo yeye aliyechagua uchawa kama Ajira na matumizi mabaya ya mdomo Ili atakapohotimu asikose tonge mdomoni sidhani kama atajibu vyema.

Akiulizwa indicators za quality education sidhani kama anazijua angalau tatu na kama Zina uhusiano na faslafa ya elimu ya TANZANIA "EDUCATION FOR SELF RELIANCE"

Usawa upi anaouzungumzia? Kwamba wanasiasa waanahubiri kujenga shule za umma na hawaziamini? Usawa upi anaouzungumzia kwamba private schools ambao ni wadau wa elimu watoe elimu Bure? Kiufupi dogo ni mpumbavu sababu amefuata ujinga halafu amerudi kuukumbatia tena.
 
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.

Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, Kiliba amepongeza serikali kwa hatua thabiti ilizochukua kuboresha elimu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu, kuongeza bajeti ya elimu, na kuwekeza katika maendeleo ya walimu na wanafunzi.

Ametoa kauli hiyo wakati akichambua bajeti ya Wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2025/2026 , akieleza kuwa bajeti hiyo inaonyesha mwelekeo chanya wa mageuzi katika sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya taifa.

Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote.

😂😂😂🪝
 
Back
Top Bottom