Na Shilatu E.J
Mmojawapo wa watarajiwa kugombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuja na kauli mbiu ya "Ni yeye", Mwambieni Watanzania tunajua na tunatambua kuwa ni yeye yeye.
Twende...
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure...
Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa
Lakini kuna Gentlemens' Agreement...
Ukifuatilia vizuri na kuhoji watu mbalimbali wanaonaje matokeo yanayoendelea kura za maoni za CCM jibu utakalopewa ni kuwa yale makundi yaliypshindwa kuchukua nchi 2015 yakiwemo mafisadi na...
Wakuu habarini za kitambo kidogo na poleni sana kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais Mstaafu Mzee Benjamini Mkapa (R.I.P),
Kwa muda mrefu huko nyuma nilikuwa najiuliza...
Muheshimiwa Tundu Lissu,
Kwanza napenda kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kupeperusha bendera ya chama chako katika uchaguzi huu wa 2020.
Pili, Sera hii yako ya Mifumo ya kifalme ni sera moja...
Kila unapofika wakati wa Uchaguzi kama huu, yanasemwa na kufanywa mengi. Moja kati ya maneno yanayosemwa sana ni kugawana/kugawa kura kwenye Uchaguzi. Kauli hii ndiyo imekuwa hoja hata ya kuwataka...
Naomba nitoe ushauri kwa chama tawala. Kwanza nirudie maneno ya Mzee Kinana " Hakuna uchaguzi rahisi". Pili naomba nishauri. Katika mchakato wa kura za maoni wagombea wengi walijitokeza.
Kati ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wafanya biashara wa mazao eneo la Dumila na kuwaahidi kuwapatia shilingi Milioni mia moja kwa ajili ya Ujenzi wa...
Kuna mama mmoja alimuhoji Tundu Lisu kwenye mkutano wa baraza kuu. Aliuliza wewe Kama mgombea urais una mpango gani kutusaidia kifedha wagombea wengine wa udiwani na ubunge? Akajibu hela Hana...
Habari zenu wakuu.
Jimbo la Masasi ambalo lilikuwa chini ya mbunge Dkt Chuachua! Kwenye kura za maoni Dr chuachua alipigwa chini na mwambe ambaye anaonekana ana ushawishi mkubwa sio kwa wajumbe...
Mgombea wa Chama cha Democratic Part (DP) Philipo John Fumbo, amekuwa mgombea wa pili kuchukua fomu ya NEC, kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwaajili ya kugombea kiti cha Urais...
Mgombea wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Leopold Mahona, amekuwa wa tatu kuchukua fomu ya NEC kwa ajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea...
Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama...
Mada inahusika.
Napenda kuwapa ujumbe huu maalum kwenu mkiona inafaa kuuzingatia kuelekea uchaguzi wa Oktoba, 2020.
i. Senario za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na kilichotokea , ziwape...
Kuna wana CCM ukiwasikiliza kuhusu huu uchaguzi, unaweza ukadhani akili zao zina matatizo. Nikiwa kama mwana CCM huru na kwa namna nilivowaona wajumbe wa CCM kwa kweli mwaka huu si wakubeza.
Kuna...
Hivi ccm na mwenyekiti wao pamoja na kuteua mkuu wa majeshi, wakuu wa mikoa, ma IGP na viongozi wote majeshi ya ulinzi na idara zake zoote, bado wanawaswasi na uchaguzi.
Ameteua Tume ya Uchaguzi...
Ndugu zangu mpaka kufikia sasa, bado sioni kama upinzani wa Tanzania uko na energy ya kuweza kuchukua na kuendesha dola Oktoba 2020. Sababu ni nyingi, ukiacha nguvu ya CCM kwa sasa, upinzani huu...
Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro inamchunguza Mbunge wa Viti MAALUM (CCM) Dk.Christine Ishengoma, kutokana na tuhuma za kugawa rushwa kwa wapiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.