Uchaguzi 2020 CHADEMA mkijiroga msipomsimamisha Lissu, nachana kadi yenu na sitawapigia kura daima

ngolani

Senior Member
Jun 8, 2020
111
500
Mwaka 2015 mlipomsimamisha Edo, tuliwaacha tukijua jamaa anaushawishi sana, kiukweli niliipigia kura chadema kwanzia udiwani ubunge mpaka Uraiasi,

Natoa taarifa sio ombi, msipomsimamisha Lisu nachana kadi yangu yangu ya CHADEMA na sitakua mwanachama tena wa CHAMA CHENU. na siko peke yangu tupo hapa wanachama nane tunasubiri kuchana!

Hatutaki kusikia chochote wala fyokofyoko yoyote


Kwaleo naishia hapo! Nangoja maamuzi ya kamati kuu na mimi nifanye maamuzi ya kamati yangu
 

Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
4,328
2,000
Kama Dr Slaa (Rais wa mioyo) alifunguliwa mlango atoke kisa hamtaki Lowasa!

Itakuwa wewe usiyekuwa hata na address?

Nyie subirini mtakayeletewa na vikao halali vya chama,msitishie watu wazima nyau!
 

ngolani

Senior Member
Jun 8, 2020
111
500
Kama Dr Slaa (Rais wa mioyo) alifunguliwa mlango atoke kisa hamtaki Lowasa!

Itakuwa wewe usiyekuwa hata na address?

Nyie subirini mtakayeletewa na vikao halali vya chama,msitishie watu wazima nyau!
wewe mimi unanifahamu?
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
6,646
2,000
Chadema hawana wanachama bali washabiki wanaoangalia upepo unaenda wapi sifa yao kubwa ni kumfata mtu wala sio sera hivyo sitakushangaa ukichana kadi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom