Uchaguzi 2020 Rais wangu usilewe sifa, Uchaguzi huu si lelemama

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
385
500
Kuna wana CCM ukiwasikiliza kuhusu huu uchaguzi, unaweza ukadhani akili zao zina matatizo. Nikiwa kama mwana CCM huru na kwa namna nilivowaona wajumbe wa CCM kwa kweli mwaka huu si wakubeza.

Kuna watu wanafiki sana wapo ndani ya CCM na wanawaangalia tu vingozi wa juu ,lakini mioyo yao imeshakinai namna mambo yanavyokwenda.

Narudia tena uchaguzi huu si lelemama.
Mwenye masikio na asikie.
 

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,154
2,000
CCM ina dola bwana.. Kama hata waganga wamechukua fomu kisa hata akishindwa atatangazwa unadahani wataamini kwamba uchaguzi ni mgumu?
 

Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
574
500
Hata corona mlitishia hivi hivi, yako mambo mengi yasiyo na idadi tangu awamu ya tano ingie madarakani wananchi wamepandikiziwa hofu kuwa hayatawezekana na bado yaliwezekana kwa kiwango cha juu.

Miradi ya kutengeneza hofu na kupiga fedha ilimtumbua kigogo flani hivi, imepitwa na wakati. Awamu za nyuma ni biashara iliyokuwa inalipa sana.
 

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
3,889
2,000
Hata kama Itashinda ila sio kwa kishindo, na kama ni kwa kishindo ni kwa kunajisi uchaguzi.
Jibu ni kuwa CCM haishindi uchaguzi wa mwaka huu. Amini nakwambia. Lissu ndo raisi wa Tanzania kuanzia October 2020
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom