Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda