Kilimanjaro: Katibu wa CHADEMA Mwanga avamiwa na Polisi nyumbani kwake na kukamatwa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Polisi wamevamia nyumba anayoishi Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembruce Mchome. Inadaiwa kuwa wamempiga mama mzazi wa Katibu huyo na kupelekea kuzimia mara kadhaa.

Watano wamekamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi akiwemo Mchome, Sadho na wengine watatu.

Tukumbuke huyu katibu aliripoti tukio la kweli la kupigana kati ya Mkurugenzi na Afisa wa Usalama wa Taifa

Taarifa zaidi zitakujia

Mwanga, Kilimanjaro: Mkurugenzi wa wilaya azichapa kavu kavu na Afisa usalama wa wilaya ofisini kwa Mkurugenzi huyo - JamiiForums
 
FB_IMG_1544433652051.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom