Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Bilionea Saidi Lugumi amesema kwa sasa kuna watoto yatima zaidi ya 800 kutoka maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam ambao anawahudumia kwa kila kitu ikiwemo chakula, mavazi, malazi...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
MBUNGE TAUHIDA GALLOS AKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA OFISI ZA CCM NA UWT MKOA WA MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk Napendekeza watu wataje mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako. Pengine utaje na mambo matano...
5 Reactions
31 Replies
930 Views
Nchi imefunguka kisawa sawa, dunia yote macho kwa Tanzania, Tanzania hii sasa, kwa kuwa ina heshima yake, basi tuifungue na tuidumishe heshima yake sambamba. Ujio wa wageni mbalimbali kwenye kesi...
0 Reactions
4 Replies
343 Views
Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha...
34 Reactions
120 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu. Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
3 Reactions
28 Replies
934 Views
Katika hafla ya ukabidhiji tuzo ya mlipa Kodi Bora 2023/24 zilizoandaliwa na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA). Mgeni rasmi alikuwa mh. Dkt. Samia Suluhu na katika hotuba yake akisema maneno haya...
2 Reactions
3 Replies
494 Views
Najalibu kuwafananisha hawa marais wawili Mwinyi na Samia. Mwinyi alikuwa Rais wa awamu ya pili chini ya chama kimoja CCM huku akigombanishwa na kivuli,nazani wakongwe mnakumbuka jinsi...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini...
10 Reactions
80 Replies
8K Views
"Tunaendelea kushikiliwa katika eneo la mahojiano la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam pamoja na @WMutunga na @Honeyfarsafi. Tumeambiwa tu tusubiri afisa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar majira ya saa 9 alfajiri alipowasili nchini kufuatilia kesi ya Tundu Lissu, Jaji Mkuu mwingine mstaafu wa nchi...
19 Reactions
60 Replies
5K Views
Waziri wa zamani wa Sheria nchini Kenya, Martha Karua, ameeleza masikitiko yake baada ya kuzuiwa kuingia nchini Tanzania akiwa na watetezi wengine wa haki za binadamu na mawakili wenzake, Lynn...
15 Reactions
195 Replies
11K Views
Hiii kitu binafsi siielewi yani WACHINA wamekuja kuchota shilingi zetu na kupeleka kwao ila mtu hajatoka hadharani kuongea chochote ila WATETEA HAKI za binadamu wamekuja mara moja tu mtu katoka...
14 Reactions
30 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Yule Mwamba wa siasa za Kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu , Freeman Mbowe , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama kikubwa zaidi na kinachoungwa mkono na...
8 Reactions
68 Replies
2K Views
Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi! Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakuu, Moja ya matukio yaliyonishangaza jana kwenye kesi ya Lissu pale Kisutu ni baadhi ya polisi kuvaa mask kama za majambazi ambao hawataki kujulikana sura zao! Nilijiuliza mengi sikupata...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku Msukuma amvaa Martha Karua kwa madai ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania huku akisema "ningekuwa askari ningekuwa na maamuzi magumu zaidi...
3 Reactions
16 Replies
930 Views
Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head. Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au...
1 Reactions
4 Replies
319 Views
Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
8 Reactions
63 Replies
7K Views
Tanzania haina dini lakini watu wake wanazo dini zao. Angalia dini yako kama haya anayosema Lissu ni kweli au uongo: Ni kweli kura za wapinzani zinaibiwa, hata Nape kaeleza namna zinavyoibwa...
5 Reactions
10 Replies
553 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…