Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa...
Wakuu,
Mkazi wa Kijiji cha Busekela wilayani Musoma Mkoa wa Mara, Helment Turutumbi (45) hajulikani alipo baada kuchukuliwa na watu wasiojulikana ambao walifika kijijini hapo na kujitambulisha...
Anaandika Mwananaharakati Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram
===================
Jina: Steven Deogratius Mganga
Umri: Miaka 20
Alipotea: Maeneo ya Sweet Corner, Manzese, Dar es...
Wanabodi,
Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ambazo ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, swali ni Je sisi Media tutimize...
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Watanzania wawili, Kumbusho Kagine na Bubelwa Kaiza, waliokuwa wakiomba kibali cha kufungua maombi ya mapitio ya mahakama kupinga Kanuni za...
Mbunge wa Jimbo la Ole, mkoa wa Kusini Pemba, Juma Omar amesema wanajeshi wastaafu wamekuwa wakipata pensheni chini ya kima cha chini, huku na yeye akiwa miongoni mwa wanaopokea kiasi hicho...
Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka.
Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta...
Why Sitting Presidents Are Mourning A Private Citizen: The Power of Tenderpreneurship
π΄Wicknell Chivayo met 10 African Presidents and a King
TANZANIAN President Samia Suluhu Hassan was in Harare...
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
Lissu: Kuna kosa mtu akisema, βMsimamo huu unaashiria uasiβ?
Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu...
Wanabodi,
Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti.
Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji...
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.
Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na...
Kumekucha:
Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle ameipongeza Tanzania kwa mchango wake katika diplomasia ya kibunge pamoja na juhudi za kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na ushirikiano wa...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii...
πͺππππ₯π π ππ¨π¨ ππ’π‘ππ’ππ πππππ’ π¨π’π‘ππππππ π§πππ ππ‘π π ππππ‘π ππππ π¨
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu kuendelea kuwekeza katika matumizi ya teknolojia itakayowezesha nchi kuongeza thamani...
Ukiangalia uchumi wa Tanzania kwa sasa ni upo kwenye boom
Uchumi unakua vizuri
Bandari inaingiza mizigo mingi sana na moja kielelezo ni kuongezeka maradufu kwa bandari kavu
Real estate iko juu...
Huu ndio ujumbe aliosema leo huyu waziri wa sera uratibu ,bunge ,vijana na walemavu
Wananchi mna maoni Gani tumwite Samia siyo halali au tumwite haramu?
Prof. Palamagamba John Kabudi na story zake nyingi kuhusu masuala ya kimataifa pia kuhusu Julius Nyerere. Palamagamba Kabudi pia aliwahi kuwa mwandishi wa habari.
Hivyo kolamu / column ya...
Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mapema miaka ya 1990, nikiwa bado kijana mdogo na mwanafunzi, nilitawaliwa na shauku kubwa ya mabadiliko. Tulikuwa kizazi kilichochoshwa na ukiritimba wa mawazo ya...