Siku nikifa kama nilihusika kwenye kuwadhulumu na kuwatesa furahini na wekeni sherehe. Msilete unafiki wa kijinga kwamba marehemu hasemwi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
37,311
Reaction score
86,734
Hamjambo Wote!

1. Sijui kama naeleweka.
Yaani nikuumize, nikutese, nikuharibie maisha alafu Siku yamenipata ulete ngonjera za ajabuajabu. Sijui UTU. Sijui Imani!

2. Aiseeh! Hakuna cha utu kwa mtu asiye na Utu.

3. Hakuna cha staha sijui stara kwa watu waliokosa stara na stags.

4. Hakuna cha kuheshimu sijui ndugu za marehemu, Sijui watoto, sijui mke, sijui wazazi.

5. Hakuna! Kama niliwafanyia uhuni, ushenzi, niiwaumiza, niliwasumbua, niliwadhulumu.

6. Kwa nafasi Yangu, mkashindwa kunilipa roho zenu zisuuzike, mkabaki na kinyongo.

7. Aiseeh! Msiniletee unafiki wenu hapa.
Nipeni ninachostahili.

8. Wapeno familia Yangu inavyostahili.
9. Wapeni watoto wangu inavyostahili.

10. Kama Baba Yao sikuwa na heshima. Nilikuwa dhulmati na hawakuwahi kutoka kuzungumza jinsi ninavyotenda mabaya. Ni kwamba watoto wangu nao ni wanufaika na matendo ya mimi Baba yao.

11. Ikiwa Matendo hayo niliyafanya kwa siri, kiasi kwamba watoto wangu na familia Yangu isijue.

12. Basi muwahukumu watoto wangu kulingana na matendo yao. Na wala sio ya mimi Baba yao.

13. Wale watoto wangu wanaofanya matabia ya hovyo kama Mimi Baba yao basi waunganisheni kwenye adhabu yalawama na kejeli za Mimi Baba yao.

14. Lakini wale ambao ni watoto Wema licha ya mimi Baba yao kuwa Mbaya. Basi waoneeni jicho la Fadhili. Na wema.

15. Nataka kusema hivi;

16. Wewe Kama Baba yako ni mwenye heshima basi tutakuheshimu kwa heshima ya Babaako.

17. Halikadhalika, Kama Baba yako ni mshenzi basi tutakulaumu na kukudharau kwa makosa ya Baba yako.

18. Vingineyo ukiri na uwe tofauti na Babaako na useme hadharani kwa level ya uovu wa Babaako.

19. Masala ya Marehemu hasemwi ni Mila potofu za kizamani. Mimi hiyo Mila siitaki. Na Sisi Watibeli hatunaga Mila za kinafiki kama hizo.

20. Sisi Marehemu anapewa vidonge vyake. Na aliowaacha kama wananufaika na wema wake halikadhalika watahangaika kwa ubaya wake.

21. Sherehekeeni kifo changu. Zomeeni. Kejelini. Tukaneni

22. Kwa sababu sikuwa Mwema. Na ninastahili kufanyiwa hivyo.

23. Familia Yangu ndio vizuri ijisikie vibaya kwa kuwa na mtu mshenzi kutoka ukoo na familia yao.

24. Mama Yangu ajisikie vibaya kwa kuzaa na kunyonyesha toto lililoleta matatizo kwenye Dunia.

25. Lazima mwisho WA ubaya uwe Aibu.
Mwisho wa dhulma iwe fedheha na dharau.

27. Msisite na kamwe usionee huruma kumdharau mtu wa Aina Yangu ikiwa nilileta matatizo katika ulimwengu wa watu.

28. Hivyo ndivyo haki ilivyo.

29. Hata hivyo. Wale waliofanyiwa mabaya ni hiyari yao watoe msamaha na wala hawalazimishwi na yeyote.
Ni hiyari Yao kusema aaah! Tumuache.

30. Lakini sio mtu back ambaye hajui maumivu ya Mimi mtu mbadi ndio awe kiherehere ninapopewa haki Yangu kama marehemu mshenzi niliyeta matatizo duniani kwa watu wengi. Ili kwa pesa za dhulma na machozi ya watu nikuze watoto wangu

31. Kufikia hapo sina la ziada.
Ruhusa mayo na wala sitawalaumu.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Sawa ..ila me siwezi kushabikia kifo cha wanasiasa kwa sababu binafsi hakuna wanasiasa ambaye amewahi kunifanyia ubaya moja kwa moja ukanigusa.Nimesoma nikafaulu nimekaa mtaani miezi tu kama bahati nimeomba kazi nikapata nikashika hela nyingi nikachezea sikufanya ya maana sana ..
Wala hakuna ndugu yangu aliyewahi kunyimwa haki na mwanasiasa nasikia tu wakilalamikiwa so kwa wanasiasa me binafsi siwezi kufurahia vifo Vyao kiukweli...kama nakosea labda nisahihishwe
 
wako tu baadhi ya raia waliowahi kuninyanyasa wachache ila ni matukio madogo sana kama vile rafiki kuniibia simu au mwanafunzi mwenzangu kunipiga kwa kunionea sasa sijui na hayo yawe sababu ya kusherehekea kifo chake si itakuwa ulofa sasa
 
.
Sasa utafurahiaje kifo cha mtu ambaye hamjawahi kukutana kwa habari za kuambiwa?

Ninachozungumza ni kuwa, Siku umesikia nimekufa au unasikia mtu amekufa, haumjui au unamjua. Ukiona watu wanashangilia uache kiherehehere kuzuia watu wakifanya hivyo.

Kwa sababu kwenye maisha ya Marehemu haukuwepo.
Na Kila MTU atapewa heshima kulingana na alivyoushi
 
Hamjambo Wote!

1. Sijui kama naeleweka.
Yaani nikuumize, nikutese, nikuharibie maisha alafu Siku yamenipata ulete ngonjera za ajabuajabu. Sijui UTU. Sijui Imani!

2. Aiseeh! Hakuna cha utu kwa mtu asiye na Utu.

3. Hakuna cha staha sijui stara kwa watu waliokosa stara na stags.

4. Hakuna cha kuheshimu sijui ndugu za marehemu, Sijui watoto, sijui mke, sijui wazazi.

5. Hakuna! Kama niliwafanyia uhuni, ushenzi, niiwaumiza, niliwasumbua, niliwadhulumu.

6. Kwa nafasi Yangu, mkashindwa kunilipa roho zenu zisuuzike, mkabaki na kinyongo.

7. Aiseeh! Msiniletee unafiki wenu hapa.
Nipeni ninachostahili.

8. Wapeno familia Yangu inavyostahili.
9. Wapeni watoto wangu inavyostahili.

10. Kama Baba Yao sikuwa na heshima. Nilikuwa dhulmati na hawakuwahi kutoka kuzungumza jinsi ninavyotenda mabaya. Ni kwamba watoto wangu nao ni wanufaika na matendo ya mimi Baba yao.

11. Ikiwa Matendo hayo niliyafanya kwa siri, kiasi kwamba watoto wangu na familia Yangu isijue.

12. Basi muwahukumu watoto wangu kulingana na matendo yao. Na wala sio ya mimi Baba yao.

13. Wale watoto wangu wanaofanya matabia ya hovyo kama Mimi Baba yao basi waunganisheni kwenye adhabu yalawama na kejeli za Mimi Baba yao.

14. Lakini wale ambao ni watoto Wema licha ya mimi Baba yao kuwa Mbaya. Basi waoneeni jicho la Fadhili. Na wema.

15. Nataka kusema hivi;

16. Wewe Kama Baba yako ni mwenye heshima basi tutakuheshimu kwa heshima ya Babaako.

17. Halikadhalika, Kama Baba yako ni mshenzi basi tutakulaumu na kukudharau kwa makosa ya Baba yako.

18. Vingineyo ukiri na uwe tofauti na Babaako na useme hadharani kwa level ya uovu wa Babaako.

19. Masala ya Marehemu hasemwi ni Mila potofu za kizamani. Mimi hiyo Mila siitaki. Na Sisi Watibeli hatunaga Mila za kinafiki kama hizo.

20. Sisi Marehemu anapewa vidonge vyake. Na aliowaacha kama wananufaika na wema wake halikadhalika watahangaika kwa ubaya wake.

21. Sherehekeeni kifo changu. Zomeeni. Kejelini. Tukaneni

22. Kwa sababu sikuwa Mwema. Na ninastahili kufanyiwa hivyo.

23. Familia Yangu ndio vizuri ijisikie vibaya kwa kuwa na mtu mshenzi kutoka ukoo na familia yao.

24. Mama Yangu ajisikie vibaya kwa kuzaa na kunyonyesha toto lililoleta matatizo kwenye Dunia.

25. Lazima mwisho WA ubaya uwe Aibu.
Mwisho wa dhulma iwe fedheha na dharau.

27. Msisite na kamwe usionee huruma kumdharau mtu wa Aina Yangu ikiwa nilileta matatizo katika ulimwengu wa watu.

28. Hivyo ndivyo haki ilivyo.

29. Hata hivyo. Wale waliofanyiwa mabaya ni hiyari yao watoe msamaha na wala hawalazimishwi na yeyote.
Ni hiyari Yao kusema aaah! Tumuache.

30. Lakini sio mtu back ambaye hajui maumivu ya Mimi mtu mbadi ndio awe kiherehere ninapopewa haki Yangu kama marehemu mshenzi niliyeta matatizo duniani kwa watu wengi. Ili kwa pesa za dhulma na machozi ya watu nikuze watoto wangu

31. Kufikia hapo sina la ziada.
Ruhusa mayo na wala sitawalaumu.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kama Kawaida chawa lopolopo
 
wako tu baadhi ya raia waliowahi kuninyanyasa wachache ila ni matukio madogo sana kama vile rafiki kuniibia simu au mwanafunzi mwenzangu kunipiga kwa kunionea sasa sijui na hayo yawe sababu ya kusherehekea kifo chake si itakuwa ulofa sasa

😂🤓🤓
Ndio hivyo Kila mtu ana kiwango chake cha maumivu na utamu.

Kama hujawahi kunyooshwa usifikirie watu wote wapo kama wewe.

Na usije wafanyia watu ubaya ukifikiri aah nawafanyia kidogo tuu. Au sijawafanyia Sana.

Kidogo yako kwa mwingine ni nyingi.
Na nyingi yako kwa mwingine ni kidogo.

Kwa kifupi tujitahidi Sana kuwa Wema.
Na pale tunapogundua tumekosea tuombe Msamaha.

Na Mungu haombwagi msamaha isipokuwa wale unaowakosea ndio unatakiwa uwaombe Msamaha.
Wengi hawalijui hili
 
Marehemu anasemwa na anasimangwq vizuri tu.. kwingine viboko na masingi anapigwa
 
You are right but kumbuka wewe ndio mwenye makosa, kuna haja gani mtoto wako asemwe au mke wako asemwe na wewe ndio ulifanya madhambi hayo. Sio wote in the family wanafurahia matendo yako sema walishindwa kukukosoa coz labda wewe ndo ulikuwa unawafanya waishi kiriziki la siku wakakuopa kuhofia kukata riziki kwao. Siku hizi alokudanganya marehemu anaheshimiwa ni nani? Kuna sehemu wanachambuana live msibani kama mfano huhudhuri wanasema, au labda huli misibani sehemu zingine wanakuachia chakula hapo and am talking what i have seen with my two machos. Kila mtu aubebe msalaba wake sio kuachia familia mzigo wa masononeko. Maana ya vikao vya kifamilia ni kurekebishana watu wakiwa hai. Haina haja tusimange familia yako na wao labda n wastaarab kivyo la msingi na sekondari hapo ni kurekebika ukiwa hai. Ngoja nimalizie konyagi yangu nakuja
 
Back
Top Bottom