Ilani ya Uchaguzi au kwa kiingereza huitwa Election Manifesto ni kabrasha litolewalo na chama cha siasa ambalo limesheeni mawazo na sera zote.
Mara nyingi chama cha siasa kikishinda uchaguzi...
Nianze kukipongeza chama changu CCM kwa mchakato wa uchaguzi wa ndani, pili nichukue nafasi hii kufikisha kilio changu kwenu viongozi wangu wa juu namna mchakato wa kumchagua mgombea udiwani kata...
Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao.
Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu...
CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.
Kitu...
Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa...
Siasa inaonyesha Rais Magufuli, ameanza kuibali siasa, na ameanza kuwa very tolerant na yuko focused kwenya mahitaji ya kudumu ya Wananchi.
POLICAL MATURITY: Rais amezidi kuiva kisiasa, tumeona...
Miaka yote ya Uchaguzi Mkuu CCM huwa ni full list,full mashamsham,umoja,mshikamano na kuaminiana.
Lakini hii Ni kwa Mara ya kwanza CCM inaingia kwenye uchaguzi wakiwa na pengo la Hon BW Mkapa...
Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki.
Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu.
Hata yule aliyekuwa Rais wa...
Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc
Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na...
Habari wakuu?
Ipo hivi kelele zote hizi za upinzani sijui CHADEMA au ACT-Wazalendo pote huko kuna watu wanajua kabisa hiki chama kikiingia madarakani mmoja wapo wagombea wao akapata Urais basi...
Moja ya makundi yaliyojeruhiwa kimaslahi kwa hii miaka 5 iliyopita ni kundi la Wafanyakazi wa Umma. Bila ongezeko la mshahara, ambalo lilikuwepo kisheria, kila mfanyakazi wa umma amejikuta...
Amani iwe kwenu ndugu wanaJF.
Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kukupapope Mr. Lissu kwa madhira uliyoyapata, kwa ujasiri wa kurudi nyumbani (najua mtu mwingine angeogopa kabisa kurudi...
Jana jioni nilikuwa naongea na walimu fulani aisee CCM imepoteza kwao. Nilijaribu kujifanya Mimi ni mwanaCCM nikaimba ngojera ya stiglaz standadgeji vivuko uchumi wa kati flyova nk.
Majibu yao...
Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo...
Wajumbe kwa mambo yanavyoonekana hivi sasa na mwenendo wa CCM kujibu hoja za Lissu, nathubutu kusema kama Tume ya Uchaguzi ikitenda haki basi Lissu anaingia Ikulu asubuhi saa nne na pia kama Tume...
Wewe kijana ambaye mwaka wa tano sa hivi toka uhitimu babo una loblob mtaani tu huna kazi. Huu ndio wa kati wa kumeki future yako, huu ni wakati wa kati wakutumia vizuri haki yako ya kikatiba...
Alikua akitembea huku akipepesuka njia nzima mida ya saa tatu usiku.
Alikua akiongea peke yake muda mwingi,lakini kila aliyekutana nae alimshirikisha furaha yake bila kujali anamshirikisha Nani...
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mgumu sana kwa pande zote mbili, CCM na upinzani, kwa CCM ni uchaguzi wa kufa na kupona, CCM itatumia mbinu zote halali na haramu kuhalalisha ushindi, ikiona...
1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo...
Nasema hivi, shukrani kwa ccm mlipotufikisha ,asanteni sana naamini bado mna nguvu ya kuendesha nchi hii hata kwa miaka 100 ijayo ILA NYIE CCM, ACT NA CHADEMA MNAKERA SANA
Wengine siyo washabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.