Uchaguzi 2020 Kijana amka ukapige kura kwa mustakabali wa maisha yako

M Mtimbichi

Member
Feb 3, 2019
56
39
Wewe kijana ambaye mwaka wa tano sa hivi toka uhitimu babo una loblob mtaani tu huna kazi. Huu ndio wa kati wa kumeki future yako, huu ni wakati wa kati wakutumia vizuri haki yako ya kikatiba kuamua maisha yako ya baadaye.

Itumie haki yako vizuri isije ukajilaumu. Muda ukifika itumie haki yako vizuri. 2015, CCM kupitia kwa mgombea wao waliahadi mambo kedekede, kama vile ajira na kuwawezesha vijana.

Badala yake, ndo imekuwa kinyume chake. Kijana usikubali kudanganya tena. Asilimia kubwa ya population ni vijana so tukiamua tunaweza. Vijana tukapige kura kuamua mstakabali wa maisha yetu ya baadaye.

Vijana tukiamua tunaweza. Kijana usikubali kuwa mshabiki tu. Kijana fanya maamuzi sahihi kwa kutumia kutumia haki yako ya kikatiba.

Vijana hali ni tete, kijana unaambiwa eti ujiajiri, wakati watoto wao, wapwa zao, wanakula maisha kwa mishara minono na mrupurupu juu. Ila mtoto wa mkulima masikini anatakiwa akapewe shamba na baba yake alime huko ajiajiri.

Asilimia tisini (90%) ya vijana waliohitimu vyuo kuanzia mwaka 2015- 2019 wapo mtaani, hawana kazi.

Kijana, Kijana, Kijana, time is now! Don’t waste time, take action!
\
 
M Mtimbichi,

Ajira chache ni kwa wanaCCM tu. Hivyo, kijana mhitimu na degree zako lazima ujipendekeze kwa CCM ili ufikiriwe.

Vijana mnayo nafasi ya kuepuka maisha ya kinyonge kutegemea kujipendekeza kwa CCM kwa kuikataa CCM tarehe 28/10/2020.
 
Ajira chache ni kwa wanaccm tu,hivyo kijana mhitimu na degree zako lazima ujipendekeze kwa CCM ili ufikiriwe. Vijana mnayo nafasi ya kuepuka maisha ya kinyonge kutegemea kujipendekeza kwa CCM kwa kuikataa CCM tarehe 28/10/2020.
Na unaweza kujipendekeza lakini akaja wa upinzani aliyeunga mkono juhudi kwa neema ya Polepole akapata teuzi.
 
M Mtimbichi,

Vijana ni wakati wetu. Tuanze kutafuta tulipoficha vichinjio vyetu. Kama kiko mbali my friend time is now. Au kifate au wakutumia ndugu zako.
 
Mleta mada wewe Ni mjinga na inaonekana hujui hata maana ya neno ajira.

Kama serikali yangu imeniletea umeme,Maji miundo mbinu ya barabara na economic elements nyingi nitashindwa je kupata ajira?

Hao unaowapigia kabobo hapa tuwachague wameajir vijana wangap mpaka Sasa ndani ya chama Chao wenye mishahara inayoeleweka, Kama tu huku BAVICHA hawapati walau allowance ya mwezi kutoka makao makuu sembuse vijana wote wa Tanzania?

Halaf ulivyo mweupe kichwani unafikiri kila mtu anaehitimu chuo Basi ana sifa za kupata ajira serikalini moja kwa moja Hadi umesahau kuwa Kuna standards GPA.
Je unataka serikali ianze kuajili Hadi GPA za 2+ ambazo ndo nyingi mtaani.

Note; Vijana kabla ya kuja kulialia huku kuhus ajira hakikisheni mnatumia nafasi yenu huko chuoni ili mpate GPA standards zinazotakiwa Siyo kazi kuvuana sketi na kwenda clubs then mje mvune hizo GPA zenu za 2+ halafu mje muilamu serikali haitoi ajira wakati nyie wenyewe ndo mmevuruga sifa za hizo ajira.
 
Ntaenda kupiga kura ili lissu ashindwe.

Naenda kupiga kura kwa ajili ya kumkataa lissu ili ashindwe
 
Back
Top Bottom