Uchaguzi 2020 Chief Kalumuna: Mgombea Ubunge pekee wa CHADEMA atayeitikisa CCM kwa Kanda ya Ziwa

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,273
2,000
Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc

Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake.

Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri aliyoipata akiwa CCM japo siku za nyuma Mwaka 2015 watu wachache ndani ya CCM walitaka kumharibia future yake ndipo alipokimbilia CHADEMA na hatimae akawa Meya

Kwa jimbo la Bukoba Mjini bado ni sintofahamu kama upinzani utapoteza au la,maana jamaa ametia nia na ni asilimia kubwa anaweza kuchukua labda DJ zero akate jina lake maana hata kwenye uchaguzi ndani ya chama chao ngazi ya kanda alikuwa amemchapa fimbo za kutosha Wenje ila DJ zero kama kawaida akabadili gia angani jamaa akapolwa haki yake.

Kalumuna.jpg

"Stay tuned BK is unpredictable"
 
Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
686
1,000
Kuhusu, kukata jina lake usipende kuwa kama Mwanamke. Ila ukweli chadema kwa Bukoba chief yuko na nguvu kubwa ..pia nimtu anayemjua Mungu sana . .kama kweli jina lake wakilikata basi naamia CCM.
 
MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,273
2,000
Kuhusu, kukata jina lake usipende kuwa kama Mwanamke ..

Ila ukweli chadema kwa Bukoba chief yuko na nguvu kubwa ..pia nimtu anayemjua Mungu sana . .kama kweli jina lake wakilikata basi naamia CCM.
Ukweli ndio huo mkuu
 
Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,084
2,000
Kalumuna jina kubwa sana Bukoba nilifanya Kaka yake kaz Dar, alimfumania mke wake akitembea na DVO wa kinondoni kipindi cha JK na kumuacha bila kumwambia lolote wala kumdhuru mbaya wake..ni watu wa dini sana .
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,619
2,000
Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc

Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake.

Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri aliyoipata akiwa CCM japo siku za nyuma Mwaka 2015 watu wachache ndani ya CCM walitaka kumharibia future yake ndipo alipokimbilia CHADEMA na hatimae akawa Meya.

Kwa jimbo la Bukoba Mjini bado ni sintofahamu kama upinzani utapoteza au la,maana jamaa ametia nia na ni asilimia kubwa anaweza kuchukua labda DJ zero akate jina lake maana hata kwenye uchaguzi ndani ya chama chao ngazi ya kanda alikuwa amemchapa fimbo za kutosha Wenje ila DJ zero kama kawaida akabadili gia angani jamaa akapolwa haki yake.

"Stay tune BK is unpredictable"
Stay tuned na sio Stay tune
 
ORCA ACE

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
482
1,000
Yawezekana keani ccm ina tabia kama za klabu ya simba wakihisi mtu kuwa tishio kwao umuonga ela kumchukua na kisha kumpoteza kama madiwan wa chadema wa shinyanga na wa mbeya ambao mpaka sasa hawajielewi
Kahamia CCM jioni hii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom