tongelao
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 777
- 2,131
Wajumbe kwa mambo yanavyoonekana hivi sasa na mwenendo wa CCM kujibu hoja za Lissu, nathubutu kusema kama Tume ya Uchaguzi ikitenda haki basi Lissu anaingia Ikulu asubuhi saa nne na pia kama Tume isipotenda haki kwa maneno ya Lissu ambaye amenusurika kufa kwa risasi basi naamini Nchi hii itabaki njia panda.
Lissu karudi akiwa hana woga na mtu wa namna hiyo hawezi kuogopa chochote na atafanya chochote kuthibitisha maneno yake japo kakoswa kufa kwa risasi 16.
Na pia najaribu kuangalia ukurupukaji wa Lumumba na mataga hasa mitandaoni kwa spana moja tu ya jana ya Mhe. Lissu na leo Polepole kapanic kuanza kujibu na usisahau hawa ndugu wamefanya siasa miaka mitano.
Je, siku 60 za spana za Lissu itakuwaje kwa kiongozi wa mataga Polepole na watu wake?
Na hapa ndipo kiongozi wa wasiojulikana atakapotuma tena wasiojulikana kupunguza kasi ya spana za bwana Lissu maana hawezi kujibu hoja na anajulikana hajui kujenga hoja zaidi ya vitisho.
Kwa hiyo kwa siku hizi 60 namshauri ajipange na awe na dawa za maumivu kwani spana za bwana Lissu zitaingia kazini kwa siku 60 na awamu hii akituma wasiojulikana sisi kama wananchi hatutakubali.