Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaitwa John Pambalu, ambaye alivunjwa mguu ilipotokea sekeseke la polisi kuzuia wananchi na wananchama waliofika kuhudhuria kesi ya Lissu Aprili, 22, 2025. Kosa kubwa lililofanya avunjwe mguu na...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukipita kila mtaa na kijiji Tanzania husikii kabisa watu wakiongelea habari za wanaharakati wa Kenya.Wengine tena wasomi vyuo vikuu ukiwauliza unamjua Martha Karua au Mwangi.Wanauliza ndio nani...
0 Reactions
7 Replies
340 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha kamati kuu wa kamati kuu ameeleza kuwa wapo kwenye vita na watu...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye...
0 Reactions
8 Replies
911 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kiko katikati ya vita dhidi ya watawala, akidai kuna njama za kupinga uamuzi halali ya vikao vya chama...
1 Reactions
4 Replies
548 Views
Wakuu, Polisi wameendelea kufanya ujinga na mambo ya ajabu kwa usalama wa wananchi. Asubuhi hii ya leo polisi wavamia chumbani kwa mpigapicha na na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa kutoka...
51 Reactions
261 Replies
14K Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Ubalozi wa Juu wa Uganda nchini Tanzania umeomba taarifa rasmi kuhusu kukamatwa na kushikiliwa kwa raia wake, Bi. Agather Atuhaire, katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania. Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania...
42 Reactions
114 Replies
7K Views
Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche ameeleza kwanini wanaona ajenda ya No refoms No election ni muhimu kwa sasa. Anaanza kwa kuhoji, 1. Je...
2 Reactions
5 Replies
724 Views
Mchungaji Kimaro amesema utii wa Katiba ni jambo la msingi sana na hii ni mafundisho kutoka kwa Mungu wa mbinguni mwenyewe Mchungaji Kimaro amesema Yakobo ndio taifa Takatifu duniani la Israel...
0 Reactions
6 Replies
479 Views
Mapadre wawili wa Kanisa Katoliki wameuawa nchini Kenya katika mazingira ya kutatanisha Source: Citizen tv Wanaharakati mko wapi?!
-1 Reactions
15 Replies
2K Views
KIMEDANI; VIJANA WASOMI BADILISHENI MBINU ZA KIVITA. UPEPO WA MASHAMBULIZI UMEBADILIKA Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Upo kwenye Vita. Vita vinahitaji mambo makuu yafuatayo ili ushinde; 1...
1 Reactions
10 Replies
837 Views
Wakuu, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia tarehe 22 Mei hadi tarehe 21 Juni 2025 kwa Waandishi wa Habari wote wanaofanya kazi za kihabari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Panel ya waandishi wa Habari waandamizi kwenye kipindi cha News Gang kinachoongozwa na mtangazaji nguli Yvonne wamesema kisiasa Tanzania ndio Kiongozi wa Africa mashariki Wametolea mfano wa CCM...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa kamati ya Mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo na Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, Mei 22, 2025, amekabidhi matofali 41,000 na Saruji tani 102 kwa kata zote 41 za Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Tmd7KodcC68 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025 / 2026 jijini Dodoma leo Mei...
0 Reactions
3 Replies
671 Views
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Niseme kwamba kalibu kila mtu alimpenda Magufuri watu na raia wa inje walimpenda pia,kila mtu huku inje alikuwa akikuona umetoka Tanzania atataka kukuuliza habari za magufuri,aliipaisha kwelikweli...
1 Reactions
7 Replies
493 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…