Bunge la Wananchi
Member
- Jan 30, 2023
- 74
- 80
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia umasikini wa wakulima wa pamba na kwamba atahakikisha viongozi hao wanakamatwa na kuwekwa ndani.
Bashe ameyasema hayo jana Bungeni wakati akijibu hoja za wabunge kuhusu bajeti ya Wizara ya Kilimo 2025/2026
Bashe ameyasema hayo jana Bungeni wakati akijibu hoja za wabunge kuhusu bajeti ya Wizara ya Kilimo 2025/2026