Huyu ni Rais tena mbaya zaidi ni mama ana watoto ila kamwe haguswi na utekeji na mauaji kwa wapinzani wake.
Hili wala tusitafune maana ameshajionyesha kwa kauli zake kadhaa na ukimya wa kuchukua...
Rais Samia wa Tanzania akiagana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, Ikulu ya Tanzania leo
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, amemtembelea Rais Samia wa Tanzania leo...
Kutoka Kila chama, TAALUMA na mazingira mahitaji ya vijana wanaochipukia utu uzima yanafanana.
Vijana wote wa kitanzania waliozaliwa myaka ya 90 mpaka 99 wanahitaji hoja za mabadiriko na...
Naona siku imeisha na bado Lucas Mwashambwa anafikiria namna ya kupangua hoja za Gwajima.
Nitumie nafasi hii kumkumbusha kuwa Watanzania tuna kiu ya kusikia akizivunjilia mbali hoja za mchungaji...
Makamu wa Rais wa Umoja wa Kimataifa wa kidemokrasia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelelo Mh Tundu Antiphas Lissu ameonekana akiwa na watu mahabusu.
Akionekana na...
Kumbe kuna watu walitaka kuvuruga amani ya nchi wakiwatumia hata watu wasio watanzania ...hii ni aibu!
Kuna kikundi cha watu kimekamatwa kikiwa na karatasi za matokeo na wanaonekana kutoa taarifa...
Huwezi kuamini kama hapa ndipo palipozalisha Mamluki Wengi waliojiita G55, lakini hali ndio kama mnavyoiona.
Kwa kifupi ni kwamba wale Mamluki Wamepuuzwa kabisa na watu wote zikiwemo hata familia...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema wapo baadhi ya wabunge wamezidiwa na vyeo vyao na kuchukulia poa’ mamlaka ya...
Mh Gwajima, kwako wee Ubunge sio kitu, Maisha ulikua nayo makubwa hata kabla ya kua Mbunge.
Tofauti na Matajiri wanaingia CCM kua Wabunge ili wakwepe Kodi , Sikuoni wewe ni wa aina hiyo!!.
Mungu...
Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90.
Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni...
GT
Ukifuatilia kwa ukaribu utaona CCM kwa sasa wana lugha kandamizi na za kibabe sana ambazo ndani yake zimejaa jeuri na fitina.
Pamoja na.mambo ya hovyo ya CCM kama ubadhilifu, bado kinaona...
Kuna tetesi mfadhili kagoma kutoa mwewe watu wape angani wawajambie waliowanyima vyeo.
Mfadhili kasema mpaka DJ mwenye aje kungurumisha spika apige scratch za maaana ndo atoe go ahead.
Wale...
Chadema wameungundua nini sasa hata kiwatume viongozi wa dini na jumuiya ya kimataifa kuwaomba tume huru ya Taifa ya uchaguzi kuijumuisha chadema kwenye mchakato wa uchaguzi uliosalia kwa maana ya...
Asiyefaa
Aliyejipitisha
Anawaagiza
Wasiofaa kutojipitisha
Wakati yeye hakufaa na alijipitisha
Anategemea wasiofaa waliompitisha
Watapitisha wanaofaa!!;
Nchi ya wajinga Sana hii !
Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Mkutano Mkuu wa chama hicho kwa kutoa wito wa mshikamano na umoja miongoni mwa wanachama kuelekea kipindi cha...
Baadhi ya matukio katika Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unaofanyika jijini Dodoma tarehe 29-30/05/2025.
Na hao ni baadhi ya makada wazalendo wa CCM wakiendesha baiskeli wakiwa wanaingia...
Ni huko kanda ya kati Dodoma. Je watabakia? Baada ya kuambiwa wazi wasipitishwe wasije wakamotonaizi na kupetrolilaiz chama...watasepaaa ama watamyuti.