Kauli mbiu mpya ya CCM ina maana gani?

Kauli mbiu mpya ya CCM ina maana gani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
62,709
Reaction score
105,316
20250530_181027.jpg

Maana ya kazi nimeelewa , ila UTU ndio sijaelewa.
 
Kazi ni hamna ila utu ndo hamna kabisa. Mafuta tunayopoteza kumsafirisha Lissu to & fro mahakani na by that time Mbowe then mwisho wa siku Jamhuri imeachana na kesi it is better ikajenga vyoo vya magereza na hawa wakajibiwa hoja zao kwa kazi na utu.
 
Hiyo utu labda ni UTUMWA ila wameficha.

Hakuna utu mahali watu wanauwawa mchana kweupe halafu tunaambiwa kifo ni kifo.
 
Back
Top Bottom