tena sanaInasikitisha sana
JPM kaenda kwa kupita njia ambayo kila mwanadamu atapita. Sisi Wahaya tuna msemo usemao "Orubabi ndushekelela ekishansha"! Unajua maana yake?Ipo siku watesi watalipa.
Leo yupo wapi JPM?
Yupo wapi JPM yule raisi wa Tanzania aliyewahi kujifananisha na malaika?JPM kaenda kwa kupita njia ambayo kila mwanadamu atapita. Sisi Wahaya tuna msemo usemao "Orubabi ndushekelela ekishansha"! Unajua maana yake?
Naona unalima nyanyaMpaka uchaguzi upite
Lugha ya kiswahili inavitu vingi sana kwenye kutafsiri, usikurupuke kujibu kama una mashaka,Naona unalima nyanya