Bila DJ kujoin G wagon hawawezi kupewa mwewe

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,593
Reaction score
17,559
Kuna tetesi mfadhili kagoma kutoa mwewe watu wape angani wawajambie waliowanyima vyeo.

Mfadhili kasema mpaka DJ mwenye aje kungurumisha spika apige scratch za maaana ndo atoe go ahead.

Wale wazee wa vyeo tayari washatua kwenye viwanja vya kufurahisha lakini hawana furaha maana kila wakimcheki DJ Facebook anawaaambia wajaribu kumcheki DJ MISHIZO utawaua!!

Bado hali ni tete huku kijana mwenye utundu akingoja huruma au suluhu ndo atoke makwaya hapo Jumatatu.

Wazee wa vyeo wamesema ikifika tarehe 3 yaaani Jumanne bila mwewe wanapaa wenyewe kwa ungo.......

Mwaka wa moto saaana.

Hizi ni tetesi
 
1000439089.jpg
 
Huu uzi unatuhusu na sisi Kenge?
 
Hapa ndo unaambiwaga, EXPECT A LOT OF UNEXPECTED.
 
Dj ameshaachia chuma, wapambane wao na Dj mpya
 
Huko sterlingi si mzee wa "Lete Nyeupe kwa mashehe" ni ubwabwa kwa kwenda mbele.
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Siasa ni kete na zinasukumwa taratibu kama chase mkuu
Kama move ni dj ku join amini atajoin tu na kama sio basi hawezi ku join siasa ni chase game Haina haraka
 
Kwanini Heche na wenzie wasimpigie magoti Mbowe abaki Chadema? Sijui waliotangulia kama waliwaza vizuri.
 
Back
Top Bottom