KOVA: Watu zaidi ya 166 wakiwemo wageni wamekamatwa

Najiuliza hivi...hilki kikosi kama kilikuwa na nia nzuri kwa nini kisingekaa katika lile eneo Chadema walisema litakuwa la kutolea taarifa?

Acha kujitoa ufahamu wewe mbona nyie mnfanya tallying inamana ukawa kufanya wao ni dhambi
 
Januari makamba anatoa wp matokeo!?halafu mnategemea nchi iwe na amani wakati mnaichezea wenyewe...
 
Huyu amefanyaje? je amekamatwa?

  • user-offline.png
    Lizaboni

    Today 15:35
    #1

    JF Senior Expert MemberArray

    Join Date : 21st February 2013
    Location : Lizaboni Songea
    Posts : 22,764
    Rep Power : 0
    Likes Received5722
    Likes Given2922

    icon1.png
    CCM kushinda Majimbo 176 kati ya 264. Yakomboa majimbo 12

    Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

    Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

    Hongera CCM. Hongera Magufuli

    Source: Azam Two
    Last edited by Lizaboni; Today at 15:44.​

    Send PM
 
Ameeleza wazi kuwa anasubiri mamlaka husika ndiyo yenye jukumu la kutangaza!
 
Acha kujitoa ufahamu wewe mbona nyie mnfanya tallying inamana ukawa kufanya wao ni dhambi
Uyo mjinga unayemwambia ilo neno hapo juu hatakuelewa una maanisha nini ..hakawii kukushitaki kupitia makosa ya kimtandao
 
Ameeleza wazi kuwa anasubiri mamlaka husika ndiyo yenye jukumu la kutangaza!

Wewe kweli ni JINGALAO sasa unaposhabikia kukamatwa kwa hao vijana waliokuwa wakijumlisha kura za UKAWA je hao vijana walikuwa wanatangaza matokeo? jitahidi kuwa na akili angalau utumie zile za chekechea kuliko kujitia aibu kiasi hiki.
 
Hata kama mimi ni bush lawyer, hapo tatizo liko wapi...! Hawa walikuwa wanakusanya matokeo kutoka kwa mawakala wao, tena walikuwa bado hawajayatangaza, maana wanajua kuwa lazima wapate kibali cha NBS kama NEC ilivyofanya(nadhini nayo iliomba kibali) kama utendeji wake hauathiri sheria hii....!!
 
Kwa nini wajifiche kila kona ya kinondoni?
 
Back
Top Bottom