Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?
Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.
Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.
Sasaaa...... logic...
Ndugu zangu Watanzania,
Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na...
Watu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani.
Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania?
Magwajima ndio...
Laiti kama Mzee huyu angeandika kitabu cha kufundishia watoto shuleni cha alphabet kama 'a e i o u' au cha hesabu ama kiswahili sanifu basi nisingetia neno lolote, lakini kwa kitabu hiki...
Ndugu wanajamiiforum, mambo ni moto kwelikweli. Huku No reform no election. Upande mwingine Askofu Gwajima kujipatia Jina jipya akihusishwa na wasaliti upande ule baada ya kusema ukweli kuhusu...
Wasalaam
Tarehe 6 Sept 2017 alimuonya tundu lissu asiende dodoma atapigwa risasi. Lakini kama tujuavyo nabii hakubaliki kwao hivyo lissu talikaidi na Sept 7 alishambuliwa kwa marisasi mengi.
Hii...
Tofauti na hawa choka mbaya Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable hawa ni waporipori hawana mvuto. Nawaambia mimi nina mvuto. Siku nikiamua tu kujiunga na CCM napata Ukuu wa Mkoa, Wilaya au...
Niende moja kwa moja kwenye mada mkakati wa chadema kupata sign za watanzania million 15. Unafikirisha kwa sisi tusio wavivu wa kufikiri,
Kwa nn wanaitaji izo sign? ,kwa kumnufaisha nani?, kwa...
Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu akishiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mapinduzi CCM siku ya pili Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma, leo tarehe 30...
Nero ni alikuwa mfalme wa Roma aliyechukiwa zaidi katika historia ya Roma mpaka kupelekea kujiua.
Nero ni nani!?
Nero alizaliwa dec 15, AD 37, katika makuzi yake akiwa mvulana alipenda sana muziki...
Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!
Leo ndo nimeamini CCM kumejaa wajinga wengi na wasiojielewa. Ambao hawajui hata mambo ya nchi yao.
Akitoa salamu za Chama Kikuu cha Urusi, Mjumbe aliyewakilisha chama hicho pamoja na kuziponda...
"Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria...
Salaam Wakuu,
Wizara ya mambo imefanya mabadiliko katika usajili wa Taasisi za Kidini kutoka wa Kudumu na kuwa wa Miaka 5. Lengo ni kutathimini Jumuiya zilizo hai na kuhakiki kama zinatii...
"Mh. Rais umewezesha watanzania wengi kupata nafasi za uongozi katika taasisi za kikanda na kimataifa. Mfanao ya hao viongozi mmojawapo ni Prof. Mohammed Janabi aliyechaguliwa kuwa mkurugenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.